Grading system ya mwaka huu sio haki

Grading system ya mwaka huu sio haki

A~80-100
B~75-79
C~65-74
D~55-64
E~45-54
S~40-44
F~0-39.....hizo ndo grade walizotumia kwa form six mwaka huu.....
 
Mkuu wakati ninatafuta credits wala sikuwa ninajia jamii forum, sibanduki hapa kwakuwa nimemaliza huko.
Mwanangu tafuta PhD, then after that Post Doc, then publications, publications, publications, publications! Nadhani kwa uandishi wako nahisi bado mtoto mdogo (ki-umri, usinielewe vibaya) , the limit is the sky kama jina lako la hapa! Wasemaje
 
duuh aisee huu ni uonevuuu xana wakubwa waeshimiwa wenye vitambi vyenu vya khela alufu three haziendi duuh iyo E ni kubwa
 
duuh aisee huu ni uonevuuu xana wakubwa waeshimiwa wenye vitambi vyenu vya khela alufu three haziendi duuh iyo E ni kubwa
Kwa advance E sio kitu cha kitoto.
Tatzo wanao fanya hayo wameshasoma tayar kitambo
 
halafu hayajielewi huko juu, hivi ni mtu alikurupuka kusema D mbili au haukuangalia D imeanzia ngap. watu wanasifa kinoma ili magufuli awasifiee , duuuuuh
 
A~80-100
B~75-79
C~65-74
D~55-64
E~45-54
S~40-44
F~0-39.....hizo ndo grade walizotumia kwa form six mwaka huu.....
Hapana mkuu.....
A=80-100
B=70-79
C=60-69
D=50-59
E=40-49
S=35-39
F=0-34

NawAsilishAaaaaaa
 
Back
Top Bottom