Recent content by lnspector CP

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Kwahyo Nape anampeleka wap?
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa=kuingia ulimwengu mpya

    mambo zenu wanajf, Vina wengi huamini kwanba kukaa na hawala ni njia ya kujifunza tabia za m'me /m'mke au hudhani ndo maisha ya ndoa huwa hivyo wakati kumbe si kweli Hiv kama kijana unawezaje kuishi na mtu usiemjua kwao na hawana ridhaa na wewe,mtu kama huyo mtapanga nn zaid ya kufikiria...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Achieni fao la kujitoa ili wengine wapate ajira

    habar wanajukwaa, Leo nimeona nitoe hofu yangu kwenu. Hofu yangu imekuja baada ya kuona kufifia katika kutafuta uwezekano wa upatikanaji wa mafao kwa mfanyakazi baada ya kuacha ama kuachishwa kazi. Hapo nyuma nilikuwa nashuhudia vijana wengi wakiacha kazi ili wawe wenye sifa ya kuchukua mafao...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Chama cha Mafisadi ni kipi hasa, kati ya CCM na CHADEMA?

    Usipate tabu nao,wanajuana hao
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniacha na nahau inasema ''Am a toilet''-- Amemaanisha nini?

    Hili kikikuwa swal;am a toilet?akimaanisha yeye sio choo kila mmoja akojolee,inawezekana anae anaempa mambo hivyo hatak achafuliwe na mwengine au kakushitukia wewe hujatulia akikupa utambwaga ndan ya kipindi cha kwanza hivyo itakuja mgharim kutafuta mwengine
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

    Wengine wana ku sms njoo tulale
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kiuno kinauma sana.

    Muone dakitar;tiba mbadala kula kitunguu swaum japo *2 kwa siku(asubuh mbegu kumi na jioni mbegu kumi)unaweza kutwanga au katakata kisha sukumia kwa maj
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kero: Sitaki kuitwa mwalimu, kama hunijui jina kaa kimya

    Mwalimu mbona ni title nzue hyo,baba wa taifa-mwalimu,JK -mwalimu (jw monduli),mama Salima Kikwete-mwali,JPM -mwalimu,first ledy wa tz-mwalimu,ukiwa mwali kuna uwezekano mkubwa ukawa rais ama mke wa rais
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa mwaka 1981

    Sijui unamaanisha nn?
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Hujapata vocal za kutosha
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume walioko kwenye ndoa wana raha sana

    Kumuacha mwanamke nyumbani si wivu ni moja ya furaha na faraja aweze kupunzka na kukupokea vizur pind urudipo kwenye mishe
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mke wa Rais: Taasisi ya urais imepotoka

    Lipi jema?hamna jibu kwasab hatuhtaje kuona jema tukalisifia ndo maana tunasema binadamu hana jema,tanzania hamna kiongoz mkubwa kuliko rais lakin tulishuhudia malalamiko makubwa mwaka jana baada rais kwenda kutibiwa nje(kwa tatzo la tez dume) watu wakahoji kaugonjwa kadogo tu ndo aende nje,leo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    Kweli kuungana ni kuzuri,tufanyeje kama tulioungana nao hawaupendi huu muungano?dalili za wazi kabisa mzenj hampendi mbara
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha kuuliza maswali ya kifala, na wewe uliza lako

    Daa unafaa kuajiliwa na Nyambali Nyangwine kuandaa vitabu vya maswali na majibu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi Sudani Kusini ana Wake 38, Watoto 127

    Asa angeshindwaje kwamfano,hcho ni kitu chakawaida hasa ukizingatia bao moja tu linatungisha mimba je kila siku ugonge wanawake 3 ndan ya mwez wanakiwa 90 fanua 30 watunge mimba je kwa miaka miwil unakuwa na wanake na watoto wangap
Back
Top Bottom