Swali chokonozi: Chama cha Mafisadi ni kipi hasa, kati ya CCM na CHADEMA?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,610
2,000
Vyama hivi viwili vimekuwa vikituhumiana kwa muda mrefu juu ya chama gani kinazalisha, kinalea ama kutukuza ufisadi.

1. Chadema wanaituhumu ccm kuwa na kitovu cha ufisadi, mafisadi na kila aina ya wizi unaofanyika serikalini (wanatoa uthibitisho Wa matukio makubwa ya ufisadi yaliyopata kujiri hapa nchini)

2. ccm wamekuwa wakiituhumu chadema kuwa inatetea na kupokea mafisadi hasa pale wanapotumbuliwa (wanatoa uthibitisho pia). kwa mantiki hii ccm wanadai kuwa chadema wamezika ile ajenda yao ya kupinga ufisadi

sasa swali langu ni kwamba kama kosa la chadema ni kutetea wanaccm wanaotumbuliwa kwa sababu ya ufisadi, na kama kosa la ccm ni kuwa kitovu cha ufisadi na mafisadi, kipi hasa ni chama cha mafisadi?

Naomba tusaidiane kujibu swali hili wanajf.

Nawasilisha
 
Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,000
Hapo ccm tunakucheka maana sisi tujielewa na tunaelewa suala la ufisadi lilivyo sugu katika chama chetu. Tunachokifanya huwa tunajaribu kujisafisha kwa kusingizia vyama pinzani
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,610
2,000
Hapo ccm tunakucheka maana sisi tujielewa na tunaelewa suala la ufisadi lilivyo sugu katika chama chetu. Tunachokifanya huwa tunajaribu kujisafisha kwa kusingizia vyama pinzani
kumbe ndio ujanja wenu eeeee!
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,287
2,000
Wote ni walewale tofauti yao majina tu.

Vyama hivi viwili vimekuwa vikituhumiana kwa muda mrefu juu ya chama gani kinazalisha, kinalea ama kutukuza ufisadi.

1. Chadema wanaituhumu ccm kuwa na kitovu cha ufisadi, mafisadi na kila aina ya wizi unaofanyika serikalini (wanatoa uthibitisho Wa matukio makubwa ya ufisadi yaliyopata kujiri hapa nchini)

2. ccm wamekuwa wakiituhumu chadema kuwa inatetea na kupokea mafisadi hasa pale wanapotumbuliwa (wanatoa uthibitisho pia). kwa mantiki hii ccm wanadai kuwa chadema wamezika ile ajenda yao ya kupinga ufisadi

sasa swali langu ni kwamba kama kosa la chadema ni kutetea wanaccm wanaotumbuliwa kwa sababu ya ufisadi, na kama kosa la ccm ni kuwa kitovu cha ufisadi na mafisadi, kipi hasa ni chama cha mafisadi?

Naomba tusaidiane kujibu swali hili wanajf.

Nawasilisha
 
ubinaadamukwanza

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
222
250
Bila kupendelea Upande wowote.
Ufisadi Ulitokana na Mfumo Bepari Ulioletwa Rasmi na Awamu ya 3 chini ya Viongozi wa CCM.
Zoezi hilo lilijaribiwa kwenye Awamu ya 2, baada ya kuona Utamu wake, basi likaendelezwa rasmi na Awamu ya 3. Awamu ya 3 ilikuwa kama mtu aliyetoka kijijini na kuvamia aliyoyakuta mjini. Alaaaa kumbe ni tamu namna hii? Ubinafsishaji, Biashara Uria, Ada ya Wadau, dili baada ya dili, matenda, Maharamia wa Kibepari wakauteka mfumo wa Ukusanyaji kodi, Awamu ya 4 na wao pia wakakuta Zulia Jekundu limeshatandikwa. Tukajikuta Watanzania tuko kwenye Mabwaya ya Kuogelea, tunavuta sigar, wengine wanacheza dansi, sherehe za mapati, harusi na maZishi ya gharama ya hali ya juu, fujo kila kona. Taifa likajisahau. Ubinaadamu nyuma, pesa Mbele. Watu walikuwa na kufuru mpaka kuagiza "whisky" na majeneza kutoka Ulaya. Mpambaji Harusi eti anatoka Dubai!

Na kupewa yote haya bado tukawa na kibri mbele ya Viongozi wetu na Utawala wa CCM, na kutaka kuwatoa Madarakani.

"Alaa kumbee! Pia mnaweza kukijeuka Chama na kuingia kwa Wapinzani?"- kibri cha pesa. Tumeshindwa kula na kipofu.

Kama tunaweza kukijeuka chama, basi hata nchi pia tunaweza kuiuza.

Haya sasa basi kama ni hivyo, wote tukose. Wacha tumlete "Bulldozer" asafishe. Hivi na hivi ndio ilivyo, hapa na hapa ndio kuna uchafu. Fanya kazi. Awamu ya 5 hiyoooo. Fichua madanguro ya mabepari na kumulika vibaka waliokuwa wanahujumu nchi yetu. Hakuna kuvuta tena sigar, sasa watavuta sigara ya Nyota na "sonyo", hakuna Whisky tena, ni Mbege na pombe ya mnazi tuu. Mpambaji wa Harusi atatoka Magomeni. Hapa Kazi tuu.

Chadema? ha ha ha ha! Mambo ya Sisimizi, Wao ni ganda la muwa la jana, leo wameliona tamu. Maskini, everything goes... daraja la 3, kajamba nani! Unayo booking au hauna ticket, wewe utaingia tuu!
Wachaga wengi wamekuwa Wapinzani wa Serikali tokea Awamu ya 1 ilipoondia Utawala wa Kimangi, Uchifu.
Na Uchifu lazima Ulikuwa Uondolewe ili kubororesha Itikadi ya TANU "Binaadamu wote ni Sawa". Maana Uchifu ulikuwa unawabagua makabila mengine kama vile Wachaga wa Uru Kishumundu na Wakibosho na hata Wapare waliokuwa jirani nao.
Chadema ina chembechembe ya Mbege, Kisusio, Mtori, Kitalilolo, Kiburu na Ukabila Engineered, Manufactured, Originated, Made in Majengo kwa Mtei, pefected in Hai,Sanya ya juu, Kwa Sadala, Majengo, Njia ya Panda, Marangu, Rombo, Kiborolonyi, Kibosho exported and distributed in Mbeya and Arusha by Udini, and well advertised and promoted in Mwanza by man made Churches found its originality in the early 1920's that designed to mislead Black people.

Ushindi wa CCM unatokana na tabia ya Chadema.
Its tough, lakini Wacha Nchi Yetu Irudishe Thamani ya Serikali yetu. Tunataka Serikali safi. Sema Tunaikumbusha CCM "Ubinaadamu Kwanza". Ili nia nzuri ifanikiwe na kubarikiwa.
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,610
2,000
Bila kupendelea Upande wowote.
Ufisadi Ulitokana na Mfumo Bepari Ulioletwa Rasmi na Awamu ya 3 chini ya Viongozi wa CCM.
Zoezi hilo lilijaribiwa kwenye Awamu ya 2, baada ya kuona Utamu wake, basi likaendelezwa rasmi na Awamu ya 3. Awamu ya 3 ilikuwa kama mtu aliyetoka kijijini na kuvamia aliyoyakuta mjini. Alaaaa kumbe ni tamu namna hii? Ubinafsishaji, Biashara Uria, Ada ya Wadau, dili baada ya dili, matenda, Maharamia wa Kibepari wakauteka mfumo wa Ukusanyaji kodi, Awamu ya 4 na wao pia wakakuta Zulia Jekundu limeshatandikwa. Tukajikuta Watanzania tuko kwenye Mabwaya ya Kuogelea, tunavuta sigar, wengine wanacheza dansi, sherehe za mapati, harusi na maZishi ya gharama ya hali ya juu, fujo kila kona. Taifa likajisahau. Ubinaadamu nyuma, pesa Mbele. Watu walikuwa na kufru mpaka kuagiza "whisky" kutoka Ulaya. Mpambaji Harusi eti anatoka Dubai!

Na kupewa yote haya bado tukawa na kibri mbele ya Viongozi wetu na Utawala wa CCM, na kutaka kuwatoa Madarakani.

"Alaa kumbee! Pia mnaweza kukijeuka Chama na kuingia kwa Wapinzani?"- kibri cha pesa. Tumeshindwa kula na kipofu.

Kama tunaweza kukijeuka chama, basi hata nchi pia tunaweza kuiuza.

Haya sasa basi kama ni hivyo, wote tukose. Wacha tumlete "Bulldozer" asafishe. Hivi na hivi ndio ilivyo, hapa na hapa ndio kuna uchafu. Fanya kazi. Awamu ya 5 hiyoooo. Fichua madanguro ya mabepari na kumulika vibaka waliokuwa wanahujumu nchi yetu. Hakuna kuvuta tena sigar, sasa watavuta sigara ya Nyota na "sonyo", hakuna Whisky tena, ni Mbege na pombe ya mnazi tuu. Mpambaji wa Harusi atatoka Magomeni. Hapa Kazi tuu.

Chadema? ha ha ha ha! Mambo ya Sisimizi, Wao ni ganda la muwa la jana, leo wameliona tamu. Maskini, everything goes... daraja la 3, kajamba nani! Unayo booking au hauna ticket, wewe utaingia tuu!
Wachaga wengi wamekuwa Wapinzani wa Serikali tokea Awamu ya 1 kuondoa Utawala wa Kimangi, Uchifu.
Na Uchifu lazima Ulikuwa Uondolewe ili kubororesha Itikadi ya TANU "Binaadamu wote ni Sawa". Maana Uchifu ulikuwa unawabagua makabila mengine kama vile Wachaga wa Uru Kishumundu na Wakibosho na hata Wapare waliokuwa jirani nao.
asante kwa mchango wako, nimepata kitu hapa kuwa mafisadi huzalishwa ccm ila yanaweza kupenya nje ya chama
 
lnspector CP

Member
Apr 28, 2016
78
125
Vyama hivi viwili vimekuwa vikituhumiana kwa muda mrefu juu ya chama gani kinazalisha, kinalea ama kutukuza ufisadi.

1. Chadema wanaituhumu ccm kuwa na kitovu cha ufisadi, mafisadi na kila aina ya wizi unaofanyika serikalini (wanatoa uthibitisho Wa matukio makubwa ya ufisadi yaliyopata kujiri hapa nchini)

2. ccm wamekuwa wakiituhumu chadema kuwa inatetea na kupokea mafisadi hasa pale wanapotumbuliwa (wanatoa uthibitisho pia). kwa mantiki hii ccm wanadai kuwa chadema wamezika ile ajenda yao ya kupinga ufisadi

sasa swali langu ni kwamba kama kosa la chadema ni kutetea wanaccm wanaotumbuliwa kwa sababu ya ufisadi, na kama kosa la ccm ni kuwa kitovu cha ufisadi na mafisadi, kipi hasa ni chama cha mafisadi?

Naomba tusaidiane kujibu swali hili wanajf.

Nawasilisha
Usipate tabu nao,wanajuana hao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom