Issue ni kwamba wamekosea mode ya kukazia hukumu tu na watafaili a proper one....
Tanzania haikukata rufaa, kwahiyo maamuzi ni yale yale kwamba wanatakiwa wawalipe
Mikataba kwanini isiwekwe wazi na wananchi wenye nchi kuitolea maoni... yaani unataka ukisema ni mbaya tushangilie pia ukisema ni mzuri tushangilie bila ya kunua content?
Credibility ya bunge kuwa muwakilishi wa wananchi ilishapoteaga kwakuwa bunge limeidhinisha masuala mengi yasikuwa na...
Naomba mimi niongelee changamoto unazoweza kukutana nazo ili ujipange mapema jinsi ya kuzitatua...
1. Mbegu nzuri ni adimu na gharama.
Mbegu zilizo nyingi zimedumaa,hivyo zinapelekea kutumia gharama kubwa za madawwa na chakula ili nguruwe kufikia uzito stahili.
2. Maeneo mengi gharama za...
sijazungumzia kuhusu lust "kutamani aka uchu au ugwadu" nimezungumzia "Love at first sight" as a true love na inavyotofautiana na mazoe.
i.e Kwa kuwa ambaye mara ya kwanza kukutana nae hukuvutiwa nae kimapenzi ila amekuwa akikusaidia kwenye shida akikutongozaukakubali kuwa nae kimapenzi hiyo...
S
ii
Si kweli, unachanganya Kati ya “mazoea” na “mapenzi”.
Kwamba mtu uliyemuona siku ya kwanza hukumpenda ukikaa nae muda ndio utakuwa umemzoea na sio kumpenda.
Unapomzoea mtu hauwezi kuona mapungufu yake kwahiyo mapenzi yanayoanzishwa baada ya hapo ni out of gratitude, sympath, na mavitu...
*** you-ceelo green
All songs za Michael Learns
Doops and the hooligan Album by Bruno Mars
How could you bring him home- Eamon
Breathless-
Butterflies- MJ
Dirty Diana- MJ
Deuces- Chriss b
One in a million- Aaliyah
Mashalah- Mzee Yusuf ft chizi Benz
Lonely- Chidi ft Chukua k
Kwa elewa wangu mdogo ni kwamba Prenup agreement ni makubaliano yanayowekwa na wenza kabla ya ndoa juu ya hatma za mali zao pale ndoa itakapovunjika.
Sheria ya ndoa ipo kimya kwenye suala la Prenup or pre marital agreement.
Kuna hoja kwamba kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya Tanzania ndoa ni...
Unajua Bureaucracy nyingine hazina maana; Kwanza kwa nini CPA isiwe incorporated kwenye Shahada ya Uhasibu?
Hakuna cha maana kinachofundishwa kwenye CPA ambacho kingeshindwa kuhuishwa kwenye Degree na ndio maana unaona watu wasio na CPA wanafaya kazi hizo kwa uweledi mkubwa bila shida
Tatizo kuu linalofanya aonekane kuegemea upande ni suala la appointment yake. Mimi nadhani kama post hii ya uwanasheria mkuu wa serikali ingekuwa inatangazwa watu wanomba bunge linachambua na baadae rais anaidhinisha hii notion ya upendeleo isingekuwepo au isingekuwa na nguvu.
Logically Mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.