Huyu Mwanasheria Mkuu wa Serikali mbona simuelewi | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Mwanasheria Mkuu wa Serikali mbona simuelewi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by natoka hapa, Apr 20, 2017.

 1. natoka hapa

  natoka hapa JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2017
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,810
  Likes Received: 6,871
  Trophy Points: 280
  Wakuu kama mnafuatilia mijadala ya bunge kuna jambo linashangaza, huyu mwanasheria mkuu wa serikali Bw. George Masaju mbona amevaa sura ya ubunge(mwanasiasa) kuliko sura ya utumishi wa umma.

  Nasema hivi kwa sababu sheria ya utumishi wa umma inamtaka mtumishi asiegemee upande wowote wa chama cha siasa lakini huyu Masaju ukimuangalia anaongea kiushabiki wa chama cha siasa.

  Hii ni hatari kama tumefikia huku, alafu nimejikuta namshusha heshima zake kutoka 100% mpaka 0%.
  Mungu anisamehe kwa mtazamo huu.
   
 2. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #81
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,634
  Likes Received: 5,987
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa inajulikana wazi kuwa 99% ya teuzi zote za nafasi za juu serikalini zinazofanywa na JPM, lazima qualification no. 1 ni lazima uwe 'die hard supporter' wa Chama Cha Majipu!
   
 3. L

  LJ Innocent Member

  #82
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 20, 2016
  Messages: 20
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 5
  Tatizo kuu linalofanya aonekane kuegemea upande ni suala la appointment yake. Mimi nadhani kama post hii ya uwanasheria mkuu wa serikali ingekuwa inatangazwa watu wanomba bunge linachambua na baadae rais anaidhinisha hii notion ya upendeleo isingekuwepo au isingekuwa na nguvu.
  Logically Mamlaka yake ya Uteuzi inafanya baadhi ya watu waamini kuwa anapendelea regardless kama ni kweli au la
   
 4. k

  kabombe JF-Expert Member

  #83
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,334
  Likes Received: 8,285
  Trophy Points: 280
  Masaju kawekwa na JK
   
 5. mxsdk

  mxsdk JF-Expert Member

  #84
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 11, 2014
  Messages: 3,334
  Likes Received: 1,584
  Trophy Points: 280
  Yulee ni empty to nothing
   
 6. B

  Babati JF-Expert Member

  #85
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 29,278
  Likes Received: 22,381
  Trophy Points: 280
  Hili ni bomu kupita kiasi
   
 7. A

  Akasankara JF-Expert Member

  #86
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,605
  Likes Received: 1,531
  Trophy Points: 280
  vuta kumbukumbu vizuri kuwa ni nani aliyemteua Masaju (an empty space) kuwa mwanasheria mkuu wa serikari?
   
 8. A

  Akasankara JF-Expert Member

  #87
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,605
  Likes Received: 1,531
  Trophy Points: 280
  Acha kuchaguliwa watu maneno ya kuandika. AG, Masaju ni hopeless kichwani. Ukabila utaitafuna ccm
   
 9. chiefnyumbanitu

  chiefnyumbanitu JF-Expert Member

  #88
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 920
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 80
  Daaaa!!! Kama anatonesha vidonda vilivyokua vinapona
   
 10. IROKOS

  IROKOS JF-Expert Member

  #89
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,488
  Trophy Points: 280
  ...Surely, and like everybody else he has got something on his head, but the problem is the ability to effectively use what is on his head.
   
 11. ras jeff kapita

  ras jeff kapita JF-Expert Member

  #90
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 4, 2015
  Messages: 5,400
  Likes Received: 3,491
  Trophy Points: 280
  Sisi wengine tumewahi fanya nae kazi...jitahidi kuwa mwelevu hatuongei vitu kutoka hewani
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #91
  Apr 22, 2017
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,588
  Likes Received: 1,315
  Trophy Points: 280
  Mkuu we tubaki kujadili tu.. Wengine tulisoma vipaji maalum enzi hizo ukiona tunaongea jua tunajua tunaongea nini
   
 13. S

  Sagungu 1914 JF-Expert Member

  #92
  Apr 22, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 750
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
  Hatuna mwanasheria mkuu pale,bali tuna kada wa ccm.Aingii akilini badala ya mwanasheria mkuu kutoa hoja za kushaur nini kifanyike yeye anatoa povu tena kwa kubwabwaja.Tumeliwa watz
   
 14. Mwana

  Mwana JF-Expert Member

  #93
  Apr 24, 2017
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 4,801
  Likes Received: 1,290
  Trophy Points: 280
  Sasa kama
  wewe vipaji maalum basi tuna shida! Inaonekana ulitumia cheti cha mtu wa vipaji maalumu!
   
 15. K

  Koryo2 JF-Expert Member

  #94
  Apr 24, 2017
  Joined: Nov 28, 2016
  Messages: 315
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Hata mimi simuelewi. Mbona majibu yake hayaendani na taaluma yake?.
   
 16. kamanda mbigi

  kamanda mbigi JF-Expert Member

  #95
  Apr 24, 2017
  Joined: Feb 8, 2017
  Messages: 1,255
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Tanzania hakuna mwanasheria mkuu......ni bora hata tumuweke mwanafunzi wa sheria kutoka Udom akae pale.
   
 17. C

  Clara Daud JF-Expert Member

  #96
  Apr 24, 2017
  Joined: Sep 23, 2016
  Messages: 544
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 80
  HAHAHAHA
   
 18. v

  viwanda JF-Expert Member

  #97
  Apr 24, 2017
  Joined: Nov 16, 2016
  Messages: 699
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 180
  Kwani huyo ana akili basi hamna kitu hapo
   
 19. t

  treborx JF-Expert Member

  #98
  Apr 24, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,364
  Likes Received: 1,969
  Trophy Points: 280
  Nilitaka kukwambia tu kwamba ili kufahamu tabia za mtu kama ni mwema au katili, you don't necessarily need to work or live with him/her. So your point is very moot.
   
 20. t

  treborx JF-Expert Member

  #99
  Apr 24, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,364
  Likes Received: 1,969
  Trophy Points: 280
  Yaani unatsema niache kuchagulia watu maneno ya kuandika (Kuhusu kuacha mambo ya ukabila) kisha unamalizia kwa kusema "Ukabila utaitafuna CCM"! mbona unajipinga mwenyewe....
   
 21. t

  treborx JF-Expert Member

  #100
  Apr 24, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,364
  Likes Received: 1,969
  Trophy Points: 280
  Arguments za kikabila siwezi kuelewa kabisa Mkuu.... i don't share same sentiments, and i believe it is wrong.
   
Loading...