Wewe hata kuandika tu hujui halafu unajifanya mjuvi wa uchumi na maswala yahusuyo ulaya?Hakuna mchi iliyo ajili wananchi wake wote muwe mnaonfoa huo ujinga kwanza vichwani mwenu hata ulaya maisha ni haya haya najua ungesoma kidogo ungenielewa lakini unaonekana hata shule kichwa huna zaid ya propaganda
Nadhani umenielewa vyema , makosa ya uandishi huwa yapo tu hata walio soma uandish wa habari huwa wanakosea sembuse mimi nisie muadishi wa habari?Wewe hata kuandika tu hujui halafu unajifanya mjuvi wa uchumi na maswala yahusuyo ulaya?
Hebu kale machips huko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kazi ya mjinga yeyote kuhangaika na vitu vidogo vidogo na kuacha yale ya msingi
Wewe haufanyi makosa ya kiuandishi.Nadhani umenielewa vyema , makosa ya uandishi huwa yapo tu hata walio soma uandish wa habari huwa wanakosea sembuse mimi nisie muadishi wa habari?
Hata muuza matunda posta mjini huipata zaidi ya hiyo
Hayo ya purchasing power kwa kiumbe kama GODZILLA atayajulia wapi maskini wakati mtu mwenyewe anawaza majungu tu mda woteMtoa mada elimu ya uchumi imekupiga chenga sana.
Sisi wafanyabiashara mtaani tunawategemea watumishi wa umma kuja kununua bidhaa zetu. Kutokana na kutopandishiwa mishahara ile purchasing power yao imepungua sana hivyo kupelekea wateja kupungua sokoni.
Wafanyabishara tunataka watumishi waongezewe mishahara ili purchasing power yao iongezeka hence mtaani biashara zichangamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasubiri mzunguko wa fedha uletwe na mafisadi badala ya watu wote kwa ujumla ambao wana kipato cha kufanya manunuzi kutoka kwa kila mmoja?Tatizo la ajira limeletwa na sera mbovu na sio mafisadi,mafisadi angalau walichangia kuongezeka kwa mzunguko wa Pesa nchini hata wasiokuwa na ajira angalau walizipata kupitia kazi mbalimbali za ujasiliamali maana biashara zilitoka walipowauzia wanufaika wa mafisadi maji,vifaa vya ujenzi,vyakula,usafiri,mavazi,starehe,nk.Laki saba labda kama calculated kwa mtu mmoja kwa mwezi lkn watz ni extended family yenye wategemezi ambao ni mzigo wako kuwatupa huwezi.
Hakuna nilichokujibu maana sijakiona.sasa kama sijui kuandika unajibu kipi ulicho kielewa basi? Maana sidhani kama ungeelewa hata cha kujibu hapa kama ningekuwa sijui kuandika .
Dodoma si kuna jua kali sana na vumbi? kuna uwezekano ubongo wako umeathiriwa na jua la utosi kiasi kwamba unashindwa kufikiria kwa umakini.Asili yangu Dodoma nazan umenielewa mana sisi ndio wenye Tanzania tofauti na nyinyi wa mipakani huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe usitutoe kwenye mada ya msingi rejea mada husika.