Recent content by Litty

  1. Litty

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    Umefanya nitafakari sana. Kweli tunatia huruma.
  2. Litty

    JamiiForums Tanzania Naomba msicheke tafadhali: Mambo ya KITAAA.....!!!!

    Nimecheka sana ya huyo aliyejigunga saa mguuni na huyo Michael Jackson wa mwisho! Lol!
  3. Litty

    JamiiForums Tanzania Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Kama ambavyo wewe unapata ujira kwa kumjadili Dr. Slaa kila kukicha? Badala ya kujadili mambo ya maana mmebakia kushabikia magamba!
  4. Litty

    JamiiForums Tanzania Wassira apigilia msumari wa moto kauli ya Pinda, asema hakuna sheria iliyovunjwa.

    Huyo Wasira nae sio tu anafanana na nanihii kisura hata kiakili pia wanafanana!
  5. Litty

    JamiiForums Tanzania Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Wewe na huyo askofu wako mnahoma ya akili! Aliyewaambia Mungu yupo Israel peke yake nani? Magamba yanawawasha!
  6. Litty

    JamiiForums Tanzania Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Ha ha aha ahaaaaaa! Magamba mnahangaika sana na maisha ya Slaa! Hamlali mawazo yenu yote yapo CHADEMA! Poleni!
  7. Litty

    JamiiForums Tanzania Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

    Hata kama hazibui vyoo?
  8. Litty

    JamiiForums Tanzania KURUGENZI YA IKULU-Iron lady alizaliwa 1987

    Wewe ndio huna hoja! Kosa liko wazi bado unatetea. Wakati mwingine mfiche mahaba yenu kwa vyama!
  9. Litty

    JamiiForums Tanzania KURUGENZI YA IKULU-Iron lady alizaliwa 1987

    Hivi wewe nyinyiem NA SERIKALI YAKE wanakulipa shiling ngapi? Huwa unawatetea mpaka unatia aibu!
  10. Litty

    JamiiForums Tanzania KURUGENZI YA IKULU-Iron lady alizaliwa 1987

    Yatasoma saa ngapi wakati yako busy na video ya Lwakatare!
  11. Litty

    JamiiForums Tanzania makahaba wastaafu!

    Yaani hao wamethibitisha kwa vitendo msemo wa ng'ombe hazeeki maini. Sijui watoto wao wanajisikiaje wakisoma kuhusu maisha ya mama zao.
  12. Litty

    JamiiForums Tanzania CHINUA ACHEBE: Ujana mtamu!

    Usipopenda kuzeeka inabidi upende kufa!
  13. Litty

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya dada zetu kwenye nyumba za ibada

    Ungekuwa karibu ningekupa glass ya ....... ungechagua utakacho. Tatizo letu binadamu tunapenda sana kuhukumu tena tunahukumu kirahisi rahisi tu kwa kuangalia muonekano wa nje. Kuvaa majoho na kujifunika ghubi ghubi hakuna maana kuwa mvaa hivyo ni mwema sana au anamheshimu sana Mungu. Tunasahau...
  14. Litty

    JamiiForums Tanzania kamata mkoko kwa 10 milion

    Its on a second page?!!! Its just like a crowd pulling thread! Mlachake usinikodolee macho jamani, I'm just wondering!
  15. Litty

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Kitaje hicho chanzo cha kuaminika!
Back
Top Bottom