Naomba msicheke tafadhali: Mambo ya KITAAA.....!!!!

Naomba msicheke tafadhali: Mambo ya KITAAA.....!!!!

Mkuu pole na masafari na mihangaiko ... picha hizo ni za majirani zetu?" Looh naona mitindo yao inatukumbusha mbali !!Lakini wote wametokelea maramara!!
 
Huyo aliyeshika jembe sijui amejitwishwa nini kichwani, amekaa utafikiri watu wa kabila fulani hivi wale wanaolima matunda.... Hahahaaa....... Nisije rushiwa mawe bureee!
 
Malte-Wandel-Ghana2.jpg
Mtambuzi, umeona nilivyo mfunika Wacko Jacko?
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli kabisa !!! Bujibuji wew ni mmburudishaji mzuri !! Huwa naimisi jamii kwa sbb ya mambo yako. Hakika unatuondolea stress , i ( we ) thank u.
 
Mtambuzi, Umenikumbusha enzi za kucheza mpira huku umevalia cha cha cha

Safi sana, hata hao mapacha wa kwanza wametokelezea, sijui kwa nini umetoa angalizo la kucheka
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana ya huyo aliyejigunga saa mguuni na huyo Michael Jackson wa mwisho! Lol!
 
Hakuna kama Maiko Jaksoni! Yaani hapo kabakiza gloves tu...
 
Back
Top Bottom