nimefungua michuzi nikakutana na taarifa ya ikulu yetu eti magreth thatcher alizaliwa mwaka huo hapo juu, uwiiiiii
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone:
255-22-2114512,2116898
E-mail:ikulumawasiliano@yahoo.com [email]press@ikulu.go.tz[/EMAIL] Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,THE STATE HOUSE,P.O. BOX 9120,DAR ES SALAAM
.
Tanzania
.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais Kikwete aomboleza kifo cha Margaret Thacher
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Aprili 8, 2013 amemtumiasalamu za rambirambi Waziri Mkuu wa Uingereza MheshimiwaDavid Cameron kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wanchi hiyo, Bibi Margaret Thatcher ambaye amefariki duniaasubuhi ya leo kwa ugonjwa wa kiharusi akiwa na umri wa miaka87.Katika salamu hizo za rambirambi, Rais Kikweteamemwambia Mheshimiwa Cameron:
Nimepokea kwa huzuni na mshtuko mkubwa habari za kifo cha ghafla chaMheshimiwa Margaret Thatcher, Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza. Kwa niaba ya serikali na wananchi waTanzania, nakutumia salamu za rambirambi za dhati yamoyo wangu kufuatia kifo hicho na kupitia kwakonawatumia salamu kama hizo wananchi wa Uingereza nafamilia ya marehemu.
Ameongeza Rais Kikwete:
Hayati MheshimiwaMargaret Thatcher alikuwa kiongozi mashuhuri ambayealisifiwa na kuwavutia wengi kama iron lady kutokanana ushawishi wake, msimamo wake thabiti na kiongozi jasiri katika kulinda na kutetea maslahi ya nchi yake pamoja na yale ya jumuiya ya kimataifa. Kwa ajili hiyoatakumbukwa na wengi katika nchi yake na duniani. Kwahakika, dunia imempoteza kiongozi muhimu ambayemchango wake daima utakumbukwa.
Rais Kikwete ameongeza kumwambia Mheshimiwa Cameron:
Mawazo na sala zetu ziko pamoja na wewe, wananchi waUingereza na familia ya wafiwa katika wakati huu mgumuwa msiba na huzuni. Tunamwomba Mwenyezi Munguaiweke peponi pema roho ya marehemu MheshimiwaMargaret Thatcher. Amina.
Mheshimiwa Margaret Thatcher ambaye kabla ya ndoa yakealijulikana kama Margaret Hilda Roberts alizaliwa Oktoba 13,1987. Alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza na wa pekee mwanamkewa Uingereza. Aidha , alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka 11 kati ya1979 na 1990 aliweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu aliyekaamadarakani kwa muda mrefu zaidi katika kipindi cha miaka 150.
Imetolewa na
:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu
.Dar es Salaam.8 Aprili, 2013