Sielewi ni kwa nn wanaume wakiona unakuwa naye karibu, unapiganaye story, unamtania, unaweza hata kuomba ushauri wa kifamilia yeye akili yake inakwenda moja kwa moja kwenye ngono, mm napenda sana kuwa na rafiki wa kuime ambaye tuko age wise na tunaongea mambo mengi lkn si kuishia kwenye ngono...