Recent content by liquelme

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitaka Tanroads na Taasisi nyingine zilizopanga kwenye majengo binafsi kuhamia kwenye majengo ya Serikali

    We jamaa umenifanya nimecheka mpaka nimepaliwa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hivi mnadhani nikiondoka madarakani ndege, reli, hospitali zitajengwa? Kwanini huko nyuma hawakufanya haya?

    JWTZ hawa hawa walosema wanafanya USAFI September mosi ile siku ya UKUTA....!!!?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Aonekana baada ya kufa na kuzikwa miezi mitatu iliyopita

    Hata picha basi za huyo dada mkuu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji wa fedha ndo nini?mimi sielewagi kabisa

    Nami nipo back bench nasubiri ufafanuzi mzee
  5. L

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

    Ingekuwa vipi..? Ingekuwa poa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya jiji la Arusha na daladala zake

    Tena katika jambo lililonishangaza nilipofika arusha kwa mara ya Kwanza basi ni hilo yaan nahisi vile vi hiace vilivyoondolewa dar ndo vikaletwa Arusha
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kwanini mruhusu dawa za meno zenye Flouride ziuzwe na zitumike Tanzania?

    Tupe elimu mkuu usiseme tuamini tu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, NGOs Tanzania zimeanza kukosa wafadhili (Donors)

    Mnalipwaje sasa wakati mnajifanya mnapinga ushoga
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Kakurwa amesema hataki kusikia kikundi au umoja unaoitwa shirikisho la Walimu wa CCM

    Katika nchi hii mkuu kuna makundi mawili ya watu ambayo uwa hayajielewi siku zote kwanza WALIMU pili WASANII
  10. L

    JamiiForums Tanzania TFF tunataka kumjua mdhamini mkuu wa ligi pendwa ya Tanzania bara TPL

    Kwa msimu huu pia swala la mdhamini bado zitakua ni porojo tu maana wadhamini walishakataa swala la ligi yetu kuwa na timu 20 wao walitaka zipungue atleast ziwe 16
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbakaji ahukumiwa kifungo cha nje mwaka mmoja

    Uchagani sehemu gani ambapo mtoto wa kike wa miaka 30 bado ana bikira...?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wakili Alphonce Nachipyangu Ajitoa Kesi ya Wanafunzi wa KIU

    Ukiweza kuweka na hiyo picha ya muheshimiwa kavaa ijabu itapendeza zaidi
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Mo Dewji: Mahakama yatoa hati raia watano wa kigeni kukamatwa

    Naona majina yote ni waafrika tupu mbona yule mzungu hayupo
  14. L

    JamiiForums Tanzania Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Yaan kwa hali aliyokua nayo huyo mpiga penati huo mpira hauwez kufika hata golin.. Hapa nakumbuka mashindano ya mrema cup jimbo la vunjo muheshimiwa MREMA alipewa mpira apige penati ili afungue mashindano alafu golini hamna kipa ila cha kushangaza muheshimiwa alipopiga ile penat mpira uliishia...
Back
Top Bottom