TFF tunataka kumjua mdhamini mkuu wa ligi pendwa ya Tanzania bara TPL

Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,046
2,131
Habar za leo wakuu kama kichwa cha habar kinavojieleza sina mengi nataka kujua mdhamini mkuu ligi Bara ni nani maana naona siku zina kwenda hatangazwi kama ambavo tuliiambiwa atatangazwa siku chache kabla ya ligi kuanza sasa imeshaanza maana mchezo wa ngao wa jamii umechezwa kuashilia kufunguliwa kwa ligi kuu bara naomba mwenye namba za karia na wambura wawapigie muwaambie hatutaki mambo kama ya mwaka jana ligi. Mpka imeisha bila mdhamini mkuu,, kama wameshindwa kuongoza Tff basi watupishe.
 
TFF ya zakaria
Ushawishi katika uwekezaji wa soka ni bashite.

Ndondo cup ya shafii ina wazamini kadhaa.
TPL mpaka sasa wiki mmoja kabla ya ligi mdhamini hajulikani.
 
Habar za leo wakuu kama kichwa cha habar kinavojieleza sina mengi nataka kujua mdhamini mkuu ligi Bara ni nani maana naona siku zina kwenda hatangazwi kama ambavo tuliiambiwa atatangazwa siku chache kabla ya ligi kuanza sasa imeshaanza maana mchezo wa ngao wa jamii umechezwa kuashilia kufunguliwa kwa ligi kuu bara naomba mwenye namba za karia na wambura wawapigie muwaambie hatutaki mambo kama ya mwaka jana ligi. Mpka imeisha bila mdhamini mkuu,, kama wameshindwa kuongoza Tff basi watupishe.
Kwa msimu huu pia swala la mdhamini bado zitakua ni porojo tu maana wadhamini walishakataa swala la ligi yetu kuwa na timu 20 wao walitaka zipungue atleast ziwe 16
 
Mdhamini voda
tapatalk_1566587005191.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom