Unajua huwa sielewi maana ya utakatishaji wa fedha wajuzi mnijuze maana hapa huwa sielewi kabisa
kutakatisha=kutakasa ,,,,,,yaani hela iliyopatikana kwa njia haramu unaiingiza kwny mzunguko wa fedha halali,,,,,,yaani kuihalalisha fedha haramu,mfano umeuza ngada ukafanikiwa kupush bila kudakwa,sasa ukaanza maneuver ya kuiweka hela hiyo kwny mzunguko wa fedha ili ianze kutumika dingi,hapo ndo utakuwa unatakatisha,,,,,,kwa uelewa wangu mfinyu najua hivyoUnajua huwa sielewi maana ya utakatishaji wa fedha wajuzi mnijuze maana hapa huwa sielewi kabisa
Nimekusoma mkulukutakatisha=kutakasa ,,,,,,yaani hela iliyopatikana kwa njia haramu unaiingiza kwny mzunguko wa fedha halali,,,,,,yaani kuihalalisha fedha haramu,mfano umeuza ngada ukafanikiwa kupush bila kudakwa,sasa ukaanza maneuver ya kuiweka hela hiyo kwny mzunguko wa fedha ili ianze kutumika dingi,hapo ndo utakuwa unatakatisha,,,,,,kwa uelewa wangu mfinyu najua hivyo
Daaah aiseekutakatisha=kutakasa ,,,,,,yaani hela iliyopatikana kwa njia haramu unaiingiza kwny mzunguko wa fedha halali,,,,,,yaani kuihalalisha fedha haramu,mfano umeuza ngada ukafanikiwa kupush bila kudakwa,sasa ukaanza maneuver ya kuiweka hela hiyo kwny mzunguko wa fedha ili ianze kutumika dingi,hapo ndo utakuwa unatakatisha,,,,,,kwa uelewa wangu mfinyu najua hivyo
NomaaKwa mfano unauza ng'anda ukipata ile hela unaweza kwenda kukopa bank ukawa unarudisha kidogo kidogo wakati huo unanunua au kujenga majumba unanunua labda magari ya usafirishaji wengine wafungua microfinance ndo utakatishaji sasa watu wanakuona uko busy na mabiashara kumbe hayo mabiashara hayana faida za kihivyo
exactly, sawa na mtu anafanya wizi wa karne,anazama bank halaf anaiba trillion nzima,sasa ili usishtukiwe kwa kumiliki hicho kiasi ilihali huna chanzo cha kipato kinachokidhi ndo anaamua kuanzisha labda kampuni la kamari,au anakopa bank ili aanzishe biashara na anakuja kuripa mkopo kwa ile ile hela alopiga,then anakuja kumiliki ma business ambayo hata bank accounts zake zikisoma anatriolion nzima hakuna atakayebisha,huyo atakuwa katakatisha,overKwa mfano unauza ng'anda ukipata ile hela unaweza kwenda kukopa bank ukawa unarudisha kidogo kidogo wakati huo unanunua au kujenga majumba unanunua labda magari ya usafirishaji wengine wafungua microfinance ndo utakatishaji sasa watu wanakuona uko busy na mabiashara kumbe hayo mabiashara hayana faida za kihivyo
sawa kabisa mkuu,,kutakatisha=kutakasa ,,,,,,yaani hela iliyopatikana kwa njia haramu unaiingiza kwny mzunguko wa fedha halali,,,,,,yaani kuihalalisha fedha haramu,mfano umeuza ngada ukafanikiwa kupush bila kudakwa,sasa ukaanza maneuver ya kuiweka hela hiyo kwny mzunguko wa fedha ili ianze kutumika dingi,hapo ndo utakuwa unatakatisha,,,,,,kwa uelewa wangu mfinyu najua hivyo
ulisomea nini?Nimekumbuka shule money laundering
Nilikuwa nimemeza kwamba ni process of making dirty money appear clean....halafu kulikuwa na zile stages zake sijui tatu sijui tano zile
Samahani Boss,naomba uzitupie hapa hizo stages!Nimekumbuka shule money laundering
Nilikuwa nimemeza kwamba ni process of making dirty money appear clean....halafu kulikuwa na zile stages zake sijui tatu sijui tano zile
Samahani Boss,naomba uzitupie hapa hizo stages!
ulisomea nini?