Recent content by lipemba

  1. L

    Wivu wa Mapenzi Wapelekea Aukate Uume wa Mumewe

    hehe kwa kweli dunia rangi rangiwe, sijui aliwaza nini huyu mwanamke
  2. L

    William Oduol, mgombeaji wa Ugavana Siaya, ampa mkewe kibano cha kutisha...picha zinasikitisha!

    huyu mwanaume ni mshenzi hafai kuwa kiongozi, kwanza nimkatili sana hata kama kuna ugomvi gani kati yake na mkewe huwezi kumpiga binadamu hivyo. ukatili huu una chosha ni kwa sababu huyo mwanamke hana nguvu za kupigana naye. ila ubaya mwisho wake ni hapa hakuna chozi la mwanadamu litakalo...
  3. L

    Notice ya kuacha job ndani ya 24 hours!

    kwanza kabisa kulingana ta sheria ya kazi ya Tanzania ya mwaka 2004 unatakiwa kumlipa mwajiri wako mshaara wa mwezi mzima, lakini kama ulipewa mkataba wa ajira wakati wa kuanza kazi fuatilia unakuelekeza nini kuhusu unapoacha kazi. taratibu za kuacha kazi kwa kawaida huwa zinatofautiana kwa...
  4. L

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    hata kama ziwa Nyasa lilikuwa linaitwa ziwa Malawi ila kumbuka pia watanzania walioishi pembeni na ziwa hilo wahakuanza kuishi jana kuna historia ya vizaza na vizazi leo hii unamwambia mnyasa eti usivue wala usitumie maji ya ziwa Nyasa sio lako huo si ni uchizi haiingii akilini kabisa ni sawa na...
  5. L

    Mugabe awalipua Walokole

    ukisema mpinga kristo unakosea yeye ni mpinga wajasiria mali wadogo waliowekeza ktk injili!!!!!!!!!!!!!! hapo ndo sawa
  6. L

    Mugabe awalipua Walokole

    eeheeeehheeeee maisha magumu ufisadi kotekote ka chach kuna wajinga wasujua kusoma Biblia wanasubiri wasomewe poa tu acha watu watajirike coz hiyo nayo akili ya kuishi bana sadaka za kupanda na kuvuna zipo ukipanda buku unavuna buku 2 kama hujavuna unaambiwa shamba liiingia viwa vijeshi wa...
  7. L

    Huyu mgeni wa ITV binafsi simwelewi kabisa!!!

    labda kwa kuwa amewahi kumiliki dry cleaner za kisasa mda mrefu AR labda tumuweke wenye levo ya mwanamapinduzi wa ukoo wake taifa itakuwa ngumu mnooooooooooooooooooooo
  8. L

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    mmh asije akawa kama Monique Lewisk maanake kiuhalisia kakurupuka kuna uwalakini hapo sio kama namtetea Lema ila huyo mama cheche Ni Monique wa Bongo aangalie downfall ya mwenzake ndo ajufuzi kutokurupuka na kasha za kijinga:mwaaah:
Back
Top Bottom