Recent content by Linus Mtei

  1. Linus Mtei

    Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

    Mohamed huyu huyu, aliefia kifuani kwa Mariam kisa umalay
  2. Linus Mtei

    GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Hivi takukuru mko wapi mpaka haya maswala yanafanyika, hongo kipindi cha uchaguzi kinawanyima haki wananchi kuchagua viongozi sahihi wa kuleta maendeleo kwenye majimbo
  3. Linus Mtei

    DAR - Moshi - Arusha wanaotamba ni Abood, Shabiby na Easther yale Mabasi ya Wachagga sijui yaliishia Wapi!

    Wakina meridian, mtei express. Bia, nyama choma, wakina mama na mikopo imewafilisi🤣🤣🤣. Kwa sasa wamebaki na vitambi kama wanaumwa kwashakoo🤣🤣🤣
  4. Linus Mtei

    Ni kwanini mwanaume unakuwa muoga

    Ila harmonize 🤣🤣
  5. Linus Mtei

    Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Njoo dm, nikupe mchongo wa ajira. Wakala wa ajira serikalini na sekta binafsi
  6. Linus Mtei

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Kwa wale ambao hawajawahi kuziona mashine za kukandia ngano, teknolojia imekuwa miguu haitumiki tena kukandia
  7. Linus Mtei

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Upo sahihi ndugu yangu, chamsingi ni kuandaa bidhaa bora ambayo inaweza kuleta ushindani kibiashara, pia upate wasambazaji bidhaa kwaajil ya marketing. Mimi nipo kwenye hiyo kazi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kama mikate, maandazi ya kuwoka, skonsi. Under private school . Hiyo ni special for...
  8. Linus Mtei

    Natafuta mwenza HIV+

    Usikate tamaa utapata
  9. Linus Mtei

    Elfu arobaini (40,000) ilivyobadilisha maisha yangu na changamoto nilizopitia katika biashara

    Maisha haya yanachangamoto nying, pole. Mungu ni wetu sote
  10. Linus Mtei

    UN yaipongeza Serikali ya Tanzania kwa Kusimamia Haki za Binadamu

    Si kweli haki za kibinadamu bado hazizingatiwi, hii ni kutaka kuficha madhambi ili ionekane Tanzania ni nchi ambayo ipo salama siku zote [emoji24] hapana Unyanyasaji umekithiri sana mikoani ndio balaa, mitaani kuna wadogo zetu ambao walitakiwa kuwepo mashuleni leo wamekuwa wafanyakazi wa ndani/...
  11. Linus Mtei

    Material hizi zimepitwa na wakati

    Ujenzi wa tofali nao ni wakizamani. Nyumba imara ni ujenzi wa kutumia maboya
  12. Linus Mtei

    Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

    Ipo fursa ya kufanya ni biashara ya kuuza mayai yakuchemsha. Tray moja ni elf8 = 30pc eggs. Ukichemsha mayai na ukauza kwa mia5 for one peace unapata elfu15 Ukitoa mtaji wa elf8, mkaa, chumvi elf1 na mia2. Faida ni elf5 na mia8 kwa tray moja. Cha msingi tegeneza ajira kwa vijana wew unawalipa...
  13. Linus Mtei

    Kukodisha shamba Kilindi, Tanga

    Ndugu yangu inaonyesha dhairi maeneo ya Tanga unayafahamu na kuyaelewa. Kwa upande wa soko huko kupo vp; mkulima akishavuna mazao tayari yameshasafishwa kabisa huwa anatafuta soko yeye mwenyewe au wanunuzi wanakuja kununulia hapo hapo shambani?
  14. Linus Mtei

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Biashara ya nafaka inalipa sana, endapo kama unausafiri wa kusafirisha hizo bidhaa. Mchele, nafaka kama maharage, mbaazi, kunde, choroko, Dengu nzima pamoja na njugu mawe. Zinalipa sana kwa utapata wateja wa mashuleni hasa hiz private school [emoji120]
Back
Top Bottom