Recent content by lindiwe

  1. L

    Baba yake Joyce Kiria afariki dunia

    pole sana dada ila tambua mungu hajakuacha ukiona machungu yanazidi jua neema imekaribia na dhahabu hupitishwa kwenye moto ili ingae zaidi ucjal haya yote yatapita na utaucmulia ukuu wa Mungu
  2. L

    Sehemu ipi wanaume wakishikwa wanapagawa?

    me mpenzi wangu nikichezea k**a yangu kwisha habari yake
  3. L

    FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    duh maria katoka siamin
  4. L

    Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

    ndoa ni mipango huwezi tu kuamua kuolewa kwa sababu umefikia umri fulan au agemate wako wameolewa kila mtu anamalengo yake kwenye maisha so hatuwezi kufanana mbona mwanaume utackia akisema najipanga kwanza kimaisha ndo niowe hata wanawake ni vivyo hivyo pili sioni kama kuolewa ni lazima kwanza...
  5. L

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    jaman tuctoe tu mada kujifurahisha maana naona hata hotuba hujaisoma chadema c chama cha wakurupukaji bali wasomi na wenye uelewa mkubwa wa mambo they dare to talk because they did reaserch and they have evidence so they have right to speak na sio makanjanja wavaa maganda naamin...
  6. L

    usiipite thread hii tafadhali nisaidie

    hongera sana kwa sababu hujakata tamaa na kusoma nakushaur usubiri matokeo mapya yatoke naamini hautakuwa hapo na pia unaweza kupangiwa shule ya advance ukiona mambo hayaja badilika nenda TIA ila kama unapenda kusomea mambo ya mahesabu pale hukosi nafasi
  7. L

    Natafuta mke age 18-25 na awe mlokole

    nadhan huku hutampata labda akuokokee nenda makanisa ya walokole
  8. L

    Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

    mmmh me cjui upole ukoje je ni mtu asiye ongea sana ukitaka chochote unapata kwa wakati kama ndo hao cwapendi maana wengi wao wanatupanga tu
  9. L

    ways to know a CHEATING PATNER IN FACEBOOK

    umetufungua macho duh
  10. L

    Mate ya mpenzio...

    wat a gud thing i real like kissin 4 sure hata kama nitaricshwaje in sex without kic lazima roho iniume
Back
Top Bottom