Kinachofanyika sasa ni kuiporomosha demokrasia Na ni uoga wa ccm Na pia uoga wa baadhi ya viongoz Na makada wa mpinzani. Kivipi ni uoga wa ccm ni Kwa sababu wanatumia nguvu kubwa sana kuwarudisha nyuma upinzan Kwa kutumia jeshi la police fursa za uongozi serikali Na mamlaka zote za...
Huwez kumchafua lowasa Kwa vihoja vya kuokoteza Na dhaifu Sana rejea mahojiano yake jana kasema cyo dhambi kuhama chama Na anashangaa kusikia watu wanazusha eti viongoz wa ccm Na serikali wamekatazwa kuja kumtembelea nyumban kwake sasa hayo Maelezo yanamajibu ya maswali yako yote kila propaganda...
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba ccm ikiiangusha chadema Kwa kuvuna viongoz wake Na wanachama ndyo itatawala milele kwan naamini njia nzur ya kuiangusha chadema ni Kufanya maendeleo ktk nchi kama huduma za jamii ajira miundombinu afya Na elimu kinyume chake ni kwamba wananchi wenyewe wataichoka...
Ni kweli waswahili husema mganga hajigangi sasa ujue mahusiano Na mtu yeyote hayana formula Kwa maana unakutana Na mke wako popote pale kwan nimeshawahi kusikia mwalimu kaolewa Na mwanafunzi wake Na vitu Kama hvyo Na hata ukirudi kwenye miiko yako Ni kwamba huruhusiwi kujiingiza kwenye mahusiano...
Kiukweli Hawa vijana wanaopewa madaraka makubwa wanatuangusha Sana lakin sishangai kauli zake kwan si huyu aliyenusurika Kula kichapo Na kwakuwa mkuu anapenda wajeur ndyo kwanza kampa madaraka makubwa Kama Yule asiye Na vyeti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.