Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

Tatizo liko wazi mbona. ..huyo mwanamke anaamini akiwa na wewe hatopata matatizo yanayohusiana na mahusiano /mapenzi.

Hajakupenda wewe kama wewe ila amependa uwezo wako wakunyambua matatizo na kuyaweka kwenye mstari ulionyooka.

Ukizingatia alikotoka kulikuwa kubaya anaona asipoteze mda kuangalia mbali wakati wewe upo usoni mwake.

Inakupasa usimamie kazi yako na kuepusha vitu vidogo kama hivyo kukuharibia ufanisi wako.

Mwambie hujaumbwa na uwezo ulioutumia kumsaidia bali umesomea. ....na anaweza kujisomea na yeye apate hapo vichache aweze kuvitumia kwenye mahusiano yake mapya.
 
Unaomba ushauri kwa watu wakawaida psychiatrist/Psychologist?tukushauri nini sasa?Dada Sky Njoo umshauri wewe me nakuaminia!
 
Mkuu ndio yule wa JF nini kupitia huu uzi nini ulimpata?

Huduma ya ushauri wa kisaikolojia na mahusiano!
Hello wadau,
Husika na kichwa cha habari hapo juu!

Napenda kuweka sawa hili kuondoa utata kwa baadhi ya watu

Nmekuwa nikiandika hapa maandiko yangu kuhusu saikolojia na maisha,ukweli ni kuwa huo huwa sio ushauri bali huwa ni maelekezo (guidance),lakini pia maandiko hayo n moja ya njia za kujulisha umma na kutangaza huduma hizi ambazo wengi HAWAZIELEWI NA WENGINE HAWA AMINI kama wanaweza kusaidika, Hivyo basi nimekuwa pia nikiomba watu wenye matatizo binafsi wanione "PM" kwa maana kuwa kule nitatoa ushauri (counselling)

Ushauri nasaha (counselling) una kanuni,taratibu na sheria zake, kwanza n jambo la siri ( confidentiality) pili linahusisha maswali ya kina ili kutafuta chanzo cha tatizo (exploration of the problem/information) kabla ya kufikia maamuzi inatakiwa mhusika awe amejieleza vya kutosha ili kumsaidia mshauri (counselor) kufanya analysis na kuja na mbadala wa kutatua tatizo.

Kwa hiyo huwezi kumshauri MTU ndani ya uwanja hapa, bali hiyo utakuwa unamwelekeza tu sasa basi SIO KWAMBA LENGO LANGU NI BAYA AU NATAFUTA KITU KINGINE KAMA MADAI YA BAADHI YA WATU WAALIOANZA KU JUDGE pale napo omba mwenye kesi binafsi aje PM maana nafahamu matatizo yanatofautiana, hivyo nia yangu kule ni kutoa counselling na sio guidance.

Swala la kuomba MTU achangie bando na mda n kawaida sana,bahati nzuri hata sijaweka kiwango maalumu bali baada ya USHAURI mtu atajisikia mwenyewe afanye nn kwa uaminifu tu, ila ni MHIMU sana!

Nawashukuru wote ambao mmekuja "PM" na wanaopenda kuja. Nanyi n mashahidi kuwa kuna utofauti wa kusoma tu andiko na kupata USHAURI, na mtakuwa mmenielewa vizuri hapa nachomaanisha!

Jamani tuna matatizo mengi na huduma hii ya ushauri inasaidia, karibu tuzungumze ubadili MTAZAMO wako!
 
Tatizo liko wazi mbona. ..huyo mwanamke anaamini akiwa na wewe hatopata matatizo yanayohusiana na mahusiano /mapenzi.

Hajakupenda wewe kama wewe ila amependa uwezo wako wakunyambua matatizo na kuyaweka kwenye mstari ulionyooka.

Ukizingatia alikotoka kulikuwa kubaya anaona asipoteze mda kuangalia mbali wakati wewe upo usoni mwake.

Inakupasa usimamie kazi yako na kuepusha vitu vidogo kama hivyo kukuharibia ufanisi wako.

Mwambie hujaumbwa na uwezo ulioutumia kumsaidia bali umesomea. ....na anaweza kujisomea na yeye apate hapo vichache aweze kuvitumia kwenye mahusiano yake mapya.
This is the best thread! Nashukuru sana na ubarikiwe mnoo!
 
Tatizo liko wazi mbona. ..huyo mwanamke anaamini akiwa na wewe hatopata matatizo yanayohusiana na mahusiano /mapenzi.

Hajakupenda wewe kama wewe ila amependa uwezo wako wakunyambua matatizo na kuyaweka kwenye mstari ulionyooka.

Ukizingatia alikotoka kulikuwa kubaya anaona asipoteze mda kuangalia mbali wakati wewe upo usoni mwake.

Inakupasa usimamie kazi yako na kuepusha vitu vidogo kama hivyo kukuharibia ufanisi wako.

Mwambie hujaumbwa na uwezo ulioutumia kumsaidia bali umesomea. ....na anaweza kujisomea na yeye apate hapo vichache aweze kuvitumia kwenye mahusiano yake mapya.
Dada kumbe unafungukaga hivi?? kweli familia yetu haikukosea kukusomesha!!
 
mshauri tena kwamba ameangukia pabovu kama mwanzo maana amekuwa na nyota ya kupenda asipo pendwa.

AMA mshauri aende kwa jamaa yake amshauri juu ya kuangukia tena kwa mtu asiye sahihi
 
The best answer doesn't come through light way it needs more obstacle to overcome to get best answer
 
Nimekuellewa vzr lakin kumbuka kuwa sio wote wanapenda kiukweli wengine wanatafuta sehemu ya kupumzikia,,nmekuwa nashauri watu wengi kiasi kuwa wengine wanao lalamika ndiyo wenye makosa, kiukweli sijampenda kabisa Kima mpenzi !!
Sasa Kama hujampenda kimapenz sioni sababu ya ww kulileta hapa hili suala ili tukushauri Nafikir jibu unalo
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
df3d3dd453574aded2d07c3c9b5e5809.jpg
 
Back
Top Bottom