Salimu Kikeke akipaka Poda.

Unapoingia studio au hata unavyopiga passport size photo unatumia face powder sio kwa ajili ya kujiremba bali ili ku-absorb camera light.

Kama umeshawahi kuona picha sometimes inakuwa na maeneo yameng'aa sana kv kwenye paji la uso, puani n.k; unatumia poda ili kuzuia hizo reflections.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom