Ukabila wa Lowassa hauvumiliki kabisa

Ukabila wa Lowassa hauvumiliki kabisa

Lowassa ni kubwa jinga, eti alitaka kuingia Ikulu,huyu jamaa ni mjinga haijawahi tokea, atawasalimia wasukuma hakuna cha 2020 wala 2050 wampigie hao wa kaskazini kwao tuone kama atatoboa,mijitu mingine ni ya kuzaba mabanzi tu
kwani wakati huo Tanzania itakuwepo?? tunaenda kugawana nchi vipande
2020 magu akagombee uraisi huko chato aiport
 
Hili liko wazi, ila nakushangaa unayepinga mtu anayepinga ukabila ndo unamhusisha na ukabila. Bosi wenu anapokwenda kanda ya ziwa anahutubia Kisukuma hatujasikia mkisema ni mkabila ila anayekemea ndo anakuwa mkabila? Aibu yenu!
 
Anaekemea ukabila hatakiwi kuitwa mkabila. Think critically kwanza ndo uweke hii post. Naupinga ukabila kwa nguvu zote
 
Jana Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kiliketi ambapo pamoja na mambo mengine yote kiliwapokea Wanachama wapya waliojiunga na CCM wakitokea upinzani. Mmoja wao aliyepokelewa alikuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrobas Katambi aliyeamua kuacha vyeo vyote vizito alivyokuwa navyo Chadema na kuamua kujiunga na CCM.

Mara baada ya kujiunga, akaibuka Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi, Edward Lowassa aliyeibuka na mtazamo wa ukabila juu ya Patrobas kujiunga na CCM. Lowassa alisema; “Nikajiuliza hata Patrobas Katambi? Nikagundua ooohh kumbe ni Msukuma … Ndio maana” Mwisho wa kunukuu.

Lowassa aliyasema maneno hayo Jana Jumanne Novemba 21, 2017 akiwa kwenye kampeni Makiba, Meru. Hii haikuwa kauli sahihi kwa Lowassa kuisema mbele ya hadhara tena jukwaani akiwahutubia watu. Huu ni ukabila mkubwa, kwani Wasukuma sio watu? Lowassa anataka kutuambia wanaohamia CCM wote ni Wasukuma? Ina maana Prof. Kitila Mkumbo ni Msukuma? Samson Mwigamba ni Msukuma? Edna Sunga ni Msukuma? Alberto Msando ni Msukuma? Ama wale Madiwani wanaojiuzulu kila siku huko Arusha na sehemu nyinginezo kujiunga na CCM nao pia ni Wasukuma?

Hizi ni dharau na ubaguzi wa hali ya juu ambao Lowassa ameonyesha kwa Wasukuma. Na hii ni tabia yake endelevu ya kupenda kuendekeza ubaguzi. Utakumbuka mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu Lowassa alihutubia akiwa Kanisani na kuwaambia Waumini sasa ni zamu ya Warutheli kuongoza nchi. Hapa Lowassa alikuwa anaomba kura kwa kutumia ushawishi wa ubaguzi wa mwamvuli wa udini, ni kama ambavyo alivyokuja hivi sasa na ubaguzi wa ukabila.

Taratibu naanza kuona misukosuko ambayo atapitia Katibu Mkuu wao Dk. Mashinji ambaye nae ni Msukuma kwa kabila ikiwemo ya kutengwa na kuhisiwa wakati wowote anaweza kujiunga CCM. Hakika, dhambi hii ya ubaguzi haitawaacha salama.

Lowassa huyu huyu alienda kumpigia debe Uhuru Kenyatta kwenye kinyang’anyiro cha Urais nchini Kenya sera zake kubwa zilikuwa ni ukabila na udini kwa Wakikuyu wa Kenya. Lowassa huyu anautaka urais kwa kuwagawa Watanzania kwa misingi ya ubaguzi wa udini na ukabila ambavyo vimemtawala sana akilini na midomoni mwake jambo ambalo halivumiliki hata kidogo.

Kauli hii ya Lowassa ni hatari inayopaswa kukemewa vikali kwani masuala ya uchochezi wa ubaguzi wa ukabila unaweza kuleta maafa makubwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mathalani, mwaka 1994 kuliibuka vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda kati ya makabila ya Wahutu na Watutsi yaliyosababisha na ubaguzi wa kikabila baina yao kama ambavyo Lowassa anavyoenenda.

Ndugu zangu, amani kuivunja ni kazi rahisi sana kuliko kuijenga tena kwani ni sawa na kuichezea shilingi katikati ya bahari yenye kina kirefu. Wapo wanaosema kuwa amani ni sawa na yai mkononi, ukilivunja hautaweza kuliunganisha kamwe; wengine wanasema kuwa amani haina bei na ikipotea haina soko la kununua. Tuitunze amani yetu kwa kukemea vikali kauli za kibaguzi za kikabila kama hizi zinazotolewa na Lowassa.

Shilatu E. J

Mkuu huyo mkabila sana hata urais atausikia tu...!!! Mwache awazalau wasukuma ila watamnyosha tena 2020 kama atagombea. Hakumbuki 2015 alivyoshwa kanda ya ziwa??
 
Hili liko wazi, ila nakushangaa unayepinga mtu anayepinga ukabila ndo unamhusisha na ukabila. Bosi wenu anapokwenda kanda ya ziwa anahutubia Kisukuma hatujasikia mkisema ni mkabila ila anayekemea ndo anakuwa mkabila? Aibu yenu!
Mkuu kwahiyo chadema haitaji wasukuma?? Kama ndiyo hivyo Chadema kuongoza nchi hii msahau kabisa labda muongoze Kaskazini na Chadema mtapata hasara kubwa na itabidi mhame Mwanza. Na kosa kubwa mtakalofanya ni kumwondoa Dr. MASHINJI Ukatibu Mkuu wa Chadema then ndio tutawanyoosha!!
 
Wasukuma mtalipoteza hili Taifa kwa Ukabila wenu

Lowassa yupo sahihi kabisa.

- Masha Msukuma

- Katambi naye Msukuma

- Bashite Msukuma

Na Baba yao ni Msukuma.
 
Mkuu unamaanisha lowasa wa CCM yule msukuma aliyesema wasibomolewe sababu wamempigia kura nn...maana lowasa huyo ndo namjua anaukabila dunia mzima hakuna km yy
 
pole ndugu yangu msukuma, ni kweli ukabila haufai hata kidogo, lakini pia usisite kumkosoa JPM anapoonesha ukabila waziwazi kama tulivyo ona akifanya mara kadhaa
 
Siku zote CHADEMA imeshambuliwa kwa siasa za ukabila na ukanda, mkuki kwa nguruwe eeh!
Kwa hiyo vyama na wanavyama wake watupiane mikuki kwa sababu kila mmoja anamuona mwingine ni nguruwe?
 
Jana Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kiliketi ambapo pamoja na mambo mengine yote kiliwapokea Wanachama wapya waliojiunga na CCM wakitokea upinzani. Mmoja wao aliyepokelewa alikuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrobas Katambi aliyeamua kuacha vyeo vyote vizito alivyokuwa navyo Chadema na kuamua kujiunga na CCM.

Mara baada ya kujiunga, akaibuka Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi, Edward Lowassa aliyeibuka na mtazamo wa ukabila juu ya Patrobas kujiunga na CCM. Lowassa alisema; “Nikajiuliza hata Patrobas Katambi? Nikagundua ooohh kumbe ni Msukuma … Ndio maana” Mwisho wa kunukuu.

Lowassa aliyasema maneno hayo Jana Jumanne Novemba 21, 2017 akiwa kwenye kampeni Makiba, Meru. Hii haikuwa kauli sahihi kwa Lowassa kuisema mbele ya hadhara tena jukwaani akiwahutubia watu. Huu ni ukabila mkubwa, kwani Wasukuma sio watu? Lowassa anataka kutuambia wanaohamia CCM wote ni Wasukuma? Ina maana Prof. Kitila Mkumbo ni Msukuma? Samson Mwigamba ni Msukuma? Edna Sunga ni Msukuma? Alberto Msando ni Msukuma? Ama wale Madiwani wanaojiuzulu kila siku huko Arusha na sehemu nyinginezo kujiunga na CCM nao pia ni Wasukuma?

Hizi ni dharau na ubaguzi wa hali ya juu ambao Lowassa ameonyesha kwa Wasukuma. Na hii ni tabia yake endelevu ya kupenda kuendekeza ubaguzi. Utakumbuka mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu Lowassa alihutubia akiwa Kanisani na kuwaambia Waumini sasa ni zamu ya Warutheli kuongoza nchi. Hapa Lowassa alikuwa anaomba kura kwa kutumia ushawishi wa ubaguzi wa mwamvuli wa udini, ni kama ambavyo alivyokuja hivi sasa na ubaguzi wa ukabila.

Taratibu naanza kuona misukosuko ambayo atapitia Katibu Mkuu wao Dk. Mashinji ambaye nae ni Msukuma kwa kabila ikiwemo ya kutengwa na kuhisiwa wakati wowote anaweza kujiunga CCM. Hakika, dhambi hii ya ubaguzi haitawaacha salama.

Lowassa huyu huyu alienda kumpigia debe Uhuru Kenyatta kwenye kinyang’anyiro cha Urais nchini Kenya sera zake kubwa zilikuwa ni ukabila na udini kwa Wakikuyu wa Kenya. Lowassa huyu anautaka urais kwa kuwagawa Watanzania kwa misingi ya ubaguzi wa udini na ukabila ambavyo vimemtawala sana akilini na midomoni mwake jambo ambalo halivumiliki hata kidogo.

Kauli hii ya Lowassa ni hatari inayopaswa kukemewa vikali kwani masuala ya uchochezi wa ubaguzi wa ukabila unaweza kuleta maafa makubwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mathalani, mwaka 1994 kuliibuka vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda kati ya makabila ya Wahutu na Watutsi yaliyosababisha na ubaguzi wa kikabila baina yao kama ambavyo Lowassa anavyoenenda.

Ndugu zangu, amani kuivunja ni kazi rahisi sana kuliko kuijenga tena kwani ni sawa na kuichezea shilingi katikati ya bahari yenye kina kirefu. Wapo wanaosema kuwa amani ni sawa na yai mkononi, ukilivunja hautaweza kuliunganisha kamwe; wengine wanasema kuwa amani haina bei na ikipotea haina soko la kununua. Tuitunze amani yetu kwa kukemea vikali kauli za kibaguzi za kikabila kama hizi zinazotolewa na Lowassa.

Shilatu E. J
Je wa Juma unavumilika?
 
Lowasa yupo sahihi, ukabila unanuka Tanzania! Ukabila unanuka Tanzania.
 
Hizo ndoto za uraisi asahau hatutaki akina Mugabe
 
Umepata ushujaa huu kwakuwa unapo tuhumu hakuna wakukushunghulikia .Mbowe alidai bungeni anao ushahidi wa takwimu ya zone moja kupendelewa .mbona ataa kugusiwa tuu Spika akugusia hiyo kitu .weee wacha unafki mtafitinisha nchi buree
 
Huwez kumchafua lowasa Kwa vihoja vya kuokoteza Na dhaifu Sana rejea mahojiano yake jana kasema cyo dhambi kuhama chama Na anashangaa kusikia watu wanazusha eti viongoz wa ccm Na serikali wamekatazwa kuja kumtembelea nyumban kwake sasa hayo Maelezo yanamajibu ya maswali yako yote kila propaganda iliyoipandikiza Kwa lowasa ilishindwa Kufanya Kaz kuanzia afya yake mbovu sijui fisadi wa Richmond sasa utaweza Na hiki kihoja chako dhaifu
 
Siku zote CHADEMA imeshambuliwa kwa siasa za ukabila na ukanda, mkuki kwa nguruwe eeh!
Hiyo sasa inajidhihirisha wazi wazi kabisa kwamba Chadema ni Chama cha Kikanda na Kilutheli..!!
 
Back
Top Bottom