Recent content by Lilombe

  1. L

    From Mtwara Port: Mapokezi Shehena ya Kwanza ya Mabomba ya Gesi Bandari ya Mtwara!

    Hali imekuwa tete mkoani Mtwara huku wananchi wakizidi kuachana na CCM siku hadi siku kutokana na ahadi za uwongo kuanzia Mtwara Corridor hadi gesi. Mheshimiwa Mkuchika na Ghasia wamekuwa ni wahanga wa gesi kwa vile mkoani kwao na katika majimbo yao hawadiriki kuishi kama zamani. Kila mara...
  2. L

    Matiko Matare ni mzima

    Pia kulikuwa na Dr. Kimaro pale Muhimbili
  3. L

    NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    Mbatia ameshakufa kisiasa anaishi kwa fadhila za CCM
  4. L

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Hali si nzuri huko Zanzibar, jana usiku kanisa la TAG limechomwa moto eneo la Kariakoo huko Unguja. Source: Wapo Radio
  5. L

    Mbinu Chafu Vyuoni ni Kaburi la CCM

    CCM inaelekea kupotea miongoni mwa watanzania hiyo imethibitishwa na mbinu chafu wanazojaribu kuzitumia ili kunusuuru machoni mwa wasomi hatahivyo kazi ni pevu sana: hapa ni kielelezo cha ouvu wao uliposhindwa huko Iringa:- Mwanafunzi RUCO akamatwa na Happiness Matanji, Iringa...
  6. L

    Rage, Sophia Simba wapanda kizimbani

    Sophia Simba Aden Rage *Ni katika kesi ya uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga *Rage aeleza bastola yake ilivyoonekana jukwaani *Chakula alichokula Sophia Simba Igunga champonza *Adai aliandaliwa na ndugu yake, ashindwa kumtaja jina MBUNGE wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), pamoja na...
  7. L

    Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

    Nakupa pole Eddie, UMEKOSA UBUNGE WA KUTEULIWA, UDC UMEUKOSA, tafadhali hasira zako zipeleke Lumumba siyo JF. Unatuaharibia topic nzuri wewe unaleta UFA MAJI WAKO!
  8. L

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Kwenye RED walikuwa wabunge bunge lililopita. Kwenye BLUE ni wabunge wa viti maalum. kama kawaida JK hana jipya
  9. L

    Mbowe kulifumua baraza la mawaziri kivuli; nani kuingia/kutoka?

    Jana akiwa Arusha NMC, Mheshimiwa Mbowe alitoa kauli ifuatayo:- "nakwenda kulifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri vivuli ili kuliandaa vizuri na kuwasilisha bajeti mbadala kwenye Bunge lijalo linalotarajiwa kukutana mwezi Juni". Je ni nani ataendelea an nani atatishwa ili aendane na...
  10. L

    Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Mkuu hii hotel ilijengwa na marehemu Kanali Fussi, yule wa JKT alikuwa Financial Controller enzi za Makame
  11. L

    Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Mkuu hii hotel ni ya marehemu Kanali Fussi (Alikuwa Financial Controller wa JKT)
  12. L

    Dawa ni wizara nyeti ziongozwe na wanawake

    Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya ndani, afya, mawasiliano na uchukuzi zishikwe na akinamama UWAZIRI, UNAIBu WAZIRI na KATIBU MKUU. Hiyo...
  13. L

    Rais Kikwete aenda Brazil kukagua kilimo cha nyanya

    Baba na Mama Mwanaisha watalii kweli, kwanini wasiengeenda Ilula kujifunza kilimo cha nyanya???
  14. L

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    Mponda amejigonga kadai Million 700 kwa sherehe za 88 ni kidogo sana
  15. L

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    Mkuchika ni yule yule hana jipya
Back
Top Bottom