Ninachojua kufungua kampuni Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, ni lazima wamiliki waanzilishi wawe kuanzia wawili. Hiyo kanuni naiona ni changamoto kubwa kwani maono na ndoto za Maisha ni za mtu binafsi. Sasa ikiwa unataka baadaye kampuni irithishwe kizazi chako ambapo wakati wa kufungua huna...
Ndugu naomba ufafanuzi wa kina kidogo kuhusu jambo hilo. Nadhani una ujumbe na ufahamu muhimu unaoweza ukasaidia. Sielewe kuhusu Shell Companies kama ulivyodokeza.
Chanika zinapatikana. Licha ya ubora wa Hali ya juu ya mbao hizi, mafundi wengi hawatakuambia uzitume. Nilipokuwa Nataka kuezeka ndipo nilipozitambua hizi mbao. Mafundi wengi niliozungumza nao hawakuzipendekeza Kwa maslahi Yao. Ila fundi mmoja ndiyo anapenda kuzituma hizo mbao. Alipokuja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.