Recent content by likassikeshabani

  1. likassikeshabani

    Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya Kujenga Nidhamu au Udikiteta Tuu?!.

    jamani tusahau tawala zilizopita huu niutawala makini sana inatupasa tuangalie anabana matumizi haya yote kwa faida watanzania au binafsi,mmezoea tanzania kuwa shamba la bibi sasa yamekwisha hapa ni kazi tu umeshindwa kaa pembeni wapishe wangine kwani watanzania tumejaliwa wachapakazi wazalendo...
  2. likassikeshabani

    Magufuli amekosa exposure

    Ww ulioandika mm cjakuelawa unamaanisha nini kama lugha ya kingereza cc sio waingereza wananchi tunataka vitendo na uchapakazi ndio maana tuliokua na viongozi wabovu kwa kuangalia kingereza anagalia wabunge wameishia kidacho cha nne tazama wanavyotoa mada zilizomakini wakati hao walisoma...
  3. likassikeshabani

    Mahakama Kuu yaamuru wanaoishi mabondeni kuhama mara moja

    nikweli waondoke lkn na ubinadamu utu uchukue nafasi yake.
  4. likassikeshabani

    CWT yapinga walimu kusafiri bure

    mm nashindwa kuelewa watu bado wapo na siasa,siasa imekwisha tunataka mabadiliko tuliokuwa tunaimba kwenye kampeni.Mabadilko ndio hayo yanaanza mkuu wa kinondoni kuamuru walimu kupanda daladala bure ni jambo bora linapaswa kuungwa mkono na kufurahiwa na walimu kwani huo ndio mwanzo tu wa...
  5. likassikeshabani

    Magufuli vs Majaliwa yupi mtumbuaji hodari?

    Hawa jamaa mungu kawapa vipaji vya kutoogapa kufa,kwani hapa Duniani binadamu wengi wanachoogopa ni kifo,sasa hawa wanajua kuwa kifo kipo na kimepangwa na Mungu,kwa hiyo kwao hawana mashaka nacho,ndio maana wanafanya kazi kwa kujiamini sana,mm binafsi wanaombea maisha marefu na yenye afya ili...
  6. likassikeshabani

    Gharama za umeme kushushwa (Tanesco yakanusha uvushi )

    mm nimeelewa kuwa wanapunguza gharama kwa watumiaji wa hali chini hasa majumbani nadhani itatusaidia sana kwani sasa mm sh10000napata unit9 wakikata service charge,sasa kama wataondoa nitapata unit28.kwa waliowengi tutapata nafuu hongereni Tanesco,mmewajali wengi walio katika uchumi wa chini na...
  7. likassikeshabani

    Waziri Mkuu Amsimamisha kazi Daktari wa Hospitali ya rufaa Mtwara

    Big up sana Serikali ya awamu ya tano hii yote inatokana na kiongozi wa juu kuwa makini na msimamo na anachokifanya,lazima yoyote aliyeserikalini afuate mfomo huo.Hongera sana Serikali ya awamu ya 5 nawasihi sana wananchi wenzangu nchi ilioza sana hivyo basi tuwe wavumilivu,naamini mda si mrefu...
  8. likassikeshabani

    TCRA yaweka namba ya kucheki simu fake! Kuanzia tarehe 17 June simu zote fake kufungiwa

    imei ni namba ambazo zipo upande wa ndani ya cm kwa nyuma ukitoa betri ya cm kama cm yako ni line moja utaona imei moja kama ni line mbili utaona imei mbili.Hii ni namba ni utambulisho wa cm yako.sass ukitaka kujua kama cm ni urijino nenda upande wa kuandika ujumbe andika imei namba yako...
  9. likassikeshabani

    Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

    ww ukashamruhusu mkeo kufanya kszi bac ujue mambo hayo nikawaida lazima uyakubali kwani kazini kunavishawishi vingi sana sasa hayo ndio matokeo yake na sio ofisi za tigo ila maeneo mengi ya kazi mambo hayo ndio kipaumbele.
  10. likassikeshabani

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye alazwa Muhimbili

    Mwenyezi Mungu ampe nguvu apone haraka.Jamani tunapockia binaadamu mwenzetu amepatwa na maradhi bac kikubwa ni kumuombea tusiingize siasa,mm mwana Ccm.
  11. likassikeshabani

    Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Nikweli wamekumbuka shuka kumekucha lkn kufanya kosa sio kosa kosa kurudia.Hivyo basi niangalizo kwa wapendanao Dini ni kitu cha kwanza kuangaliwa kabla ya ndoa.
  12. likassikeshabani

    Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Tujitahidi sana kuona kwa dini sawa kuepuka haya kwani Dini sio kabila.Dini ni kitu muhimu sana cha kuzingatia kabla ya kufunga ndoa.Kuoana.
Back
Top Bottom