Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,432
- 8,140
jonh pombe magufuli vs majaliwa kassim majaliwa je ni yupi mahiri katika tasnia ya utumbuaji majipu? mimi binafsi kama mtumishi wa umma mwenye jipu ama sina jipu ni bora kutembelewa na magufuli kuliko huyu majaliwa. make nimeona majaliwa anatumbua kwelikweli. wewe je mtazamo wako?