Recent content by Lihakanga

  1. Lihakanga

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Mwizi aliyekamatwa na polisi bila usumbufu na mjumbe shuhuda, anauawa kwa kosa lipi? Na siyo polisi wanaoyufundisha tusichukue sheria mkononi? Usishabikie hali hii, leo kwake kesho kwako na kama siyo kwako basi nduguye litampata. Utajisikiaje?
  2. Lihakanga

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Hakuna cha asali wala nini. Wamepigwa mkwara tu, imetosha. Isitoshe TBS ni mavuvuzela fulani wasio na lolote kichwani.
  3. Lihakanga

    Naomba kufahamu kama kuna universal remote ya radio

    Kwa muda sasa redio yangu haina remote kitu ambacho hunifanya ili nibadilishe njia ya matumizi ya redio au tv kunilazimu nisimame nikabonyeze button. Je, ninaweza kupata remote yenye uwezo wa kuendesha redo yoyote? Au ninaweza kupata remote ya redio husika ambayo ni Topsonic (mchina)?
  4. Lihakanga

    Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hizi ahadi za kingese kuna siku zitamgharimu mtu. Kuna mwaka mmoja nilikuwa kanda ya kati. Watu wakawekeana ahadi juu ya matokeo ya simba na yanga. Moja aliweka rehani ng'ombe na mwingine lilikuwa shamba. Kwa bahati mbaya aliyewekea ng'ombe (mshabiki wa yanga), timu yake ikafungwa na ng'ombe...
  5. Lihakanga

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Waziri mkuu alijua kinachoendelea. Siku alipotamka kuwa Rais mzima anaendelea na kazi, alikuwa Njombe. Lakini za chini ya kapeti alikuwa anatembelea vikosi vya jeshi vya mipakani kwa siri kuweka mambo sawa. Moja ya ziara alizokatisha ilikuwa kutembelea makaa ya mawe Nchuchuma Ludewa...
  6. Lihakanga

    Huyu mzee vipi?

    Wewe bwege, ndo umekuja kunitangaza huku? Kama hunitaki si ukae kimya?
  7. Lihakanga

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Tungekuwa na rais mwenye akili huo mchele usingeingia kabisa. Bashe na mamake hamnazo kabisa
  8. Lihakanga

    Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

    Usimpongeze kwanza. Hana hela ya kumpa demu ndiyo maana anamwita jini. Akipata pesa atamwomba radhi kwa kutuuma hela halafu akiangalia picha ya ngamia, atampiga mpunga mrefu ili warudiane. Hapo hakuna kijana. Ni vuvuzela tu huyu. Unamlipia demu pango 1.4m halafu hela ya kula mama mzazi 3k...
  9. Lihakanga

    Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Atakuwa aliuza marinda anaona haya kusema.
  10. Lihakanga

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Mwana umenena kwa kweli. Na chanzo cha usaliti huwa ni hapahapa. Mwanaume unayatimba halafu unajifanya mbabe. Atanyamaza ila akipata nafasi ya kushauriwa na mwanaume mwenzako tu, ameliwa naye. Kumaliza tofauti kati ya wanandoa ni muhimu sana tena kwa wakati.
  11. Lihakanga

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Humu kuna matango pori na yale yalimwayo. Chagua yalimwayo tu.
  12. Lihakanga

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    We kima, unahitaji jina la taarifa kwani huoni hali za watanzania tuliowengi?
Back
Top Bottom