Recent content by liguveli

  1. liguveli

    Rasmi sasa Madereva wa malori wa Tanzania wanaishia mpakani, magari yanapulizwa dawa anachukua dereva wa Rwanda. Hatuaminiki tena

    Siku mbili nilikuwa vigwaza wb, madereva hawavai barakoa na hata hawajari kabisa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. liguveli

    Nini hatima ya kanisa la Mlima wa moto A.G baada ya Mama Getrude Lwakatare (Mchungaji na mbunge) kufariki dunia?

    Uko sahihi kabisa mama rwakatale ni mndamba small tribe inside wapogoro wa mngeta eneo mchombe..... Angesema mndamba asinge eleweka vizuri ila ukisema mpogoro au mruguru mtu anajua ni morogoro mirahisi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. liguveli

    Data collection opportunity Dar es salaam

    Mkuu nimeku pm, sisi tulio mtaani tunajua game lilivyo heri niwe nasave hata laki kwa mwezi kuliko empty set
  4. liguveli

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    kampuni ya METL wanahitaji watu wa BRAND AMBASSADOR jaribu bahati yako
  5. liguveli

    INDIA: Mahakama yamhukumu kifungo cha maisha jela Raia wa Kenya kwa kosa la kumbaka mkenya mwenzake

    India kubaka ni issue na inachukuliwa kwa uzito mkubwa ni common crime ya 4 against wanawake na mwaka 2003 takwimu ili zaidi ya 24,000 ya wanawake walibakwa kwa kule kuuwa mtu si issue kubwa kama kabaka ..... Jamaa mkenya Eric alikuwa na miaka 26 na issue ilitokea state ya Tamil Nadu na siyo...
  6. liguveli

    Walio omba kazi ubalozi wa marekani mail clerk

    Ok ..... sasa nimekuelewa nisha kosa hii, thankx anyway
  7. liguveli

    Walio omba kazi ubalozi wa marekani mail clerk

    Duu yakweli hayo mkuu ....[emoji30]
  8. liguveli

    RIWAYA YA BURE

    Mimi pia mkuu ninahitaji sijui nitapata ofa hyo....
  9. liguveli

    Walio omba kazi ubalozi wa marekani mail clerk

    Ok ndo wiki ya nne ina enda ya tano ngoja nione
  10. liguveli

    Nahitaji used phone 250,000tsh

    Ipo SAMSUNG GRAND PRO ...bei 250000 unataka lini? Nipo Dar
  11. liguveli

    Walio omba kazi ubalozi wa marekani mail clerk

    Naomba kuuliza kuna yeyote aliye omba kazi ya MAIL CLERK humu au vipi kama washaitwa , maana wiki ya nne hii inaisha ......
Back
Top Bottom