Nahitaji used phone 250,000tsh

Nahitaji used phone 250,000tsh

Dah hii kitu siwezi isahau kwenye maisha yangu acha Mungu tu aitwe Mungu yaani kwa sasa hata Mtu auze S9 laki 2 na iwe Og. Nikupita tu hiviiiiii.
unanunua chs kufanya unabeba na elfu 50 mnaelekeana Polisi kuuziana

hapo sahau MTU kukukamata
 
Yeah hii ndo idea nzuri sana kwa hizi simu za mikononi maana kama hufahamu unaweza siku kuta unabeba kesi ya kichwa hatari sana kizembe unapotea na si kila simu utanunua useme unabadiri imei huu ni uongo na kwa haraka haraka huwezi waza kitu kama hiki.
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k

250,000/- kama ni mtumiaji wa Techno nenda dukani, unapata mpya kabisa na nzuri sana.

Usinunue kwa mtu.
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
250000 Bora ukanunue kuku wa kienyej ufuge
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
niongezee elfu 50 nikuuzie oppo A85 Ram 3 gb internal 32 gb nichek whatsapp 0763772636
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Ipo SAMSUNG GRAND PRO ...bei 250000 unataka lini? Nipo Dar
IMG-20181024-WA0012.jpeg
IMG-20181024-WA0014.jpeg
View attachment VID-20181024-WA0015.mp4
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Njoo PM HTC desire 826 bado mpya ram 2 GB 16
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Ongeza laki na 75 uchukue I phone 6
 
Back
Top Bottom