Mkuu nimeku pm, sisi tulio mtaani tunajua game lilivyo heri niwe nasave hata laki kwa mwezi kuliko empty setNashukuru outputs zako. Nitarekebisha tangazo kuweka ujuzi na lugha.. Ni kweli ni consultancy firm.
Kama nilivtosema awali, tulitamani kuwalipa zaidi ila bahati mbaya ndo hivyo tena. Mtu akitumia 5,000 kwa siku nauli na chakula then siku 20 ni laki moja. Si haba unaweza kubakiza kidogo kwenye laki 3. Ila we wish we were able to pay more.
Mbona umejiachia uchi hivi unatumaje cv yako hadharani duhNmeshatuma mkuu
Daah...;nashukur kuna m2 nilimp kaz ya kutuma so nadha amekoxeaMbona umejiachia uchi hivi unatumaje cv yako hadharani duh
Wachukue wadogo zako mkafanye hio kazWe are searching data collectors for upcoming study in Dar es salaam. Key points to observe:
1). Data collection will happen in Dar es salaam at selected health facilities Temeke, Ilala and Kigamboni starting from october 2019
2). You will interview youth clients after getting services at health facilities
3). Interview will happen daily except weekend and public holiday (i.e 20-22 days per month)
4) Duration is one year from October 2019 to September 2020
5). Monthly allowance is 300,000/- inclusive of transport. No any other payment.
6). You should commit to work for one full year
7) You should be ethical, reliable, no forgery, be honest and hardworker
8). We want to recruit individuals with minimum of certificate level.
This is suitable for one with no job and those seeking volunteering work.
If interested send your cover letter and CV to damaxsolutions@yandex.com
Please dont send any certificate. Sent only CV and cover letter. You should have reliable reference to prove your reliability honest
Sasa mnaanza kuita lini maana October tayariWe are searching data collectors for upcoming study in Dar es salaam. Key points to observe:
1). Data collection will happen in Dar es salaam at selected health facilities Temeke, Ilala and Kigamboni starting from october 2019
2). You will interview youth clients after getting services at health facilities
3). Interview will happen daily except weekend and public holiday (i.e 20-22 days per month)
4) Duration is one year from October 2019 to September 2020
5). Monthly allowance is 300,000/- inclusive of transport. No any other payment.
6). You should commit to work for one full year
7) You should be ethical, reliable, no forgery, be honest and hardworker
8). We want to recruit individuals with minimum of certificate level.
This is suitable for one with no job and those seeking volunteering work.
If interested send your cover letter and CV to damaxsolutions@yandex.com
Please dont send any certificate. Sent only CV and cover letter. You should have reliable reference to prove your reliability honest
Mkuu una matatizo wewe sio Bure.Kwa kuangalia post #27 hapo juu ninadhani kuna uwezekano kwamba DAMAX Solutions mnawadanganya au mmekuwa mkiwadanganya wateja ambao mmekuwa mkiwafanyia kazi kwa kuwaambia kwamba mna watafiti wenye ujuzi & uzoefu mkubwa. kwa picha ya haraka inaonekana Kwamba DAMAX Solutions wamekuwa wakijipatia kipato kizuri sana kwa kuwatumia vijana wasio na kazi kwa kuwapatia cheo bandia cha Volunteer. Ningefurahi kama wahusika watajitokeza na kuniondolea huu ukakasi ninaoupata kuhusu kampuni yao.
Ahsante
Mkuu una matatizo wewe sio Bure.
KimyaaaaaVipi washaita ?

Hili n swali au n jibu?wameshaita tayar