Nini hatima ya kanisa la Mlima wa moto A.G baada ya Mama Getrude Lwakatare (Mchungaji na mbunge) kufariki dunia?

Naweka rekodi sawa, Mchungaji Mama Rwakatare alikuwa Mndamba, wengi wanayachanganya makabila haya mawili; Wapogolo wanatokea Wilata ya Mahenge, Wandamba wanatokea wilaya ya Kilombero: Ifakara hadi Mlimba ambako ndipo kwao.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa mama rwakatale ni mndamba small tribe inside wapogoro wa mngeta eneo mchombe..... Angesema mndamba asinge eleweka vizuri ila ukisema mpogoro au mruguru mtu anajua ni morogoro mirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa rahisi hivyo Kila mtu angefungua kanisa hata wewe utajirike usitoa jibu rahisi kwenye swali gumu.Kafungue na wewe tuone Kama unadhani rahisi

Ni sawa na kusema ohh yule tajiri sababu m free mason kaingie na wewe tukuone unavyotajirika Kama unadhani Ni rahisi

Watanzania wengi umaskini hauiishi sababu wana majibu rahisi rahisi tu kama yako hawapendi kuumiza kichwa

Kwa ulivyoandika tu wewe ni maskini Tena wa kutupwa haihitaji mtaalamu wa saikolojia kujua hilo

Msukule wa mama tulia taratibu dawa iingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya Mada

Kuna taarifa inatambaa mitandaoni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria Hatunae tena. Kuna ukweli wowote juu ya hili?
 
Kanisa la Mlima wa Moto ni kitegauchumi binafsi cha mama Lwakatare, ndio maana kila siku yeye ndiye alikuwa anaendesha misa na kutoza sadaka. Baada ya mama kufa, nadhani biashara itakuwa imeishia hapo. Mtoto wake/washirika wake/mtu yeyote awaye hana nguvu za ushawishi kuwaaminisha waumini wake kuhusu uponyaji wa vitambaa wakamuelewa. Wala hakuna mwingine tena atakayeweza kuwaaminisha waumini wake kuhusu upepo wa kisulisuli wakamuelewa. Kilichocho sana sana ni waumini kugawana mbao za kanisa na hatimaye kila mmoja atafute chaka jipya la kuibukia. Mimi ndivyo nionavyo mkuu Mshanajr
 
Labda wamuangikie Mtume Maboya wataweza kumentain status ya waamini kama alivyokuwepo Mama au hata kuzidi maana akiwepo Maboya hata mimi nitaanza kwenda kuabudu pale.

Lakini sizani kama Maboya atakubali hata wakimuomba vipi.

Sana sana Atawaambia atakuwa anaenda kwa msimu kama enzi za uhai wa Mama Rwakatare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa la Mlima wa Moto ni kitegauchumi binafsi cha mama Lwakatare, ndio maana kila siku yeye ndiye alikuwa anaendesha misa na kutoza sadaka. Baada ya mama kufa, nadhani biashara itakuwa imeishia hapo. Mtoto wake/washirika wake/mtu yeyote awaye hana nguvu za ushawishi kuwaaminisha waumini wake kuhusu uponyaji wa vitambaa wakamuelewa. Wala hakuna mwingine tena atakayeweza kuwaaminisha waumini wake kuhusu upepo wa kisulisuli wakamuelewa. Kilichocho sana sana ni waumini kugawana mbao za kanisa na hatimaye kila mmoja atafute chaka jipya la kuibukia. Mimi ndivyo nionavyo mkuu Mshanajr
Umewaza mawazo yangu.. Umeandika uhalisia ambao baadhi yetu hawapendi kuusikia

Jr
 
She is so inspiring haijalishi kwa njia gani hukumu ni ya Mungu tu,nikionaga wamama kama hawa napata moyo siku nitafika

Wewe uko kama mimi...!...mie nasemaga hata kama alikua ana deal chafu..je kwanini wewe usizifanye??..hahaa...fanya kama unahis rahis!...sijui kama kuna raha hapa duniani kama mwanamke kuwa financial independent! Sijui...!
 
kwakweli mimi pia sijui,nikifanya deal zangu nikapata pesa yangu huwa kuna kihali napata ka tofauti kabisa,pesa ni muhimu sana kwenye maisha
 
Back
Top Bottom