Walio omba kazi ubalozi wa marekani mail clerk

liguveli

Member
Apr 19, 2018
10
5
Naomba kuuliza kuna yeyote aliye omba kazi ya MAIL CLERK humu au vipi kama washaitwa , maana wiki ya nne hii inaisha ......
 
Mkuu mbona mlielezwa vizur kwani Leo wiki ya ngapi? Utaiweza hiyo kaz kweli kama detail hiyo ndogo shida
 
Duu yakweli hayo mkuu ....

Ni kweli.
Screenshot_2018-10-25-16-27-23-443_com.android.browser.png
 
Back
Top Bottom