Recent content by ligati

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    dini zitawatoa mishipa ...mvua inanyeshea waovu na wema ,,waislamu na wakristo..basi na elimu inapitia wote waislamu na wakristo
  2. L

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    hizo bilioni 12 si ndio hata Bade alisema Azam amekubali kulipa kutokana na upotevu wa makontena hayo?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Majimbo walioshinda CHADEMA ni uwekezaji wa Slaa na CHADEMA asilia

    Haya taja na idadi ya wabunge wote (wa kuchaguliwa na viti maalumu) ..halafu ucompare the trends tena...halafu unasahau asset inajengwa na liability pia yaani assets=liabilities+shareholders equities ..so unaposema assets hasa kwenye kampuni iliyokuwa lazima itatengenezwa na liability ...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Zitto Zuberi Kabwe

    Ok sawa!!hakuna matata
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Zitto Zuberi Kabwe

    Haaa Haaa jamaa sasa wewe unaona 0.68% >0.01? Au? hahaa kweli elimu ni muhimu...teh teh
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ina maana wanawake wazuri hawana sifa ya kuajiriwa serikalini, ni private organizations tu?

    Dress codes zinachangia ..uku serikalini wazuri wapo wengi...sema dress codes zao sio za mitego na hawajipara sana.Kingine kiukweli mishahara hafifu inachukuwa mda mrefu kumnawirisha mwanamke
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nataka kuwa Tajiri zaidi ya hapa!

    Mie najua umaskini sio dili....
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nataka kuwa Tajiri zaidi ya hapa!

    Haaa haaa na nyumba za masaki je kupigwa dili ilikuwa kipindi gani?...teh teh
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nataka kuwa Tajiri zaidi ya hapa!

    Walipewa bure au waliuziwa?...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Makamba: Lowassa ni mroho wa madaraka

    Navy boi aliyenyewa na lowasa..teh teh
  11. L

    JamiiForums Tanzania Viva viettel (halotel)

    Ndio nini 120ms? ...oops elimu elimu elimu
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu hana tabia ya kunitambulisha kwa marafiki/ofisini kwake na hata wakija nyumbani

    Tafuta hela kwa bidii,,itakutambulisha.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Kuchamba Kwingi Mnaoa Magumegume Yaliyomshinda Mtume. Anahaha kuchepuka na X wake! Hovyooo!

    Huyo Aggy Aggy dah... She is too good to be real...lol ..
  14. L

    JamiiForums Tanzania CRDB huduma ni mbovu bora hata NMB

    Haaa unadharau babu,,,yaani unadhani banker wote wana mishahara hafifu..
Back
Top Bottom