Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
Imekuwa ni kawaida kuona Makamanda wa Polisi wa Mikoa(MA-RPC) na vigogo wengine wa Jeshi hilo wakiwa wamevaa gloves pale wanapoonyesha silaha na vitu vingine vilivyokamatwa kwa waandishi wa habari.
Sawa hili ni jambo jema kabisa. Lakini je,askari wanaokuwa katika operesheni hizo huvaa nini mikononi mwao kujikinga kama maboss wao?
Inawezekana huu ukawa ndio utaratibu wa Jeshi hilo.Kama ndio,utaratibu huu unafaa kweli?Kama ni hatari,nani yuko katika hatari zaidi kati ya askari anaekamata vitu hivyo mitaani na RPC anaekuja kuonyesha vitu hivyo kwa waandishi wa habari baada ya kuwa teyari vimeshakamatwa na askari wa chini yake?!

Last edited by a moderator: