umechukua viti vyote 12 vya udiwani umebeba. umedhihakiwa sana. sasa kachape kazi. ndo maana wahenga walisema kuwa NUNGU SI ATHUMANI. MUNGU ANGEKUWA BINADAMU TUNGEANGAMIA WOTE. hongera.
Si wamelitetea kupitia Zitto Kabwa?
Zitto peke yake ni sawa na wabunge wa ndiyooooooo wote
NCCR kwishaaaaaa. imekufaa.
Alipata 0.68% sasa sijui kwa nini unasema hakuvuka 0.01?.
Haaa Haaa jamaa sasa wewe unaona 0.68% >0.01? Au? hahaa kweli elimu ni muhimu...teh teh
we jamaa ni taahira!!
kubishana na wewe ni utahira vilevile...
watu mlioenda shule mkashindwa kuelimika ni wakuchoma moto.
Wagombea 190+ Nchi nzima kaambulia yeye tu kwasabu sio mpinzani kapata back-up ya NEC ndio maana kajitangaza kashinda saa 11 Jioni,hakukuwa na mizengwe Kama kwa kina Hasanali,mbagala,wenje,kawe hamjiulizi? Zitto sio mpinzani.
...halafu wakiambiwa Act ni ccm B hawataki kuelewa; kwa kifupi ccm wanamuachia sana zito coz ni "mtu" wao.
Wapinzani wa kweli kama kina Kafulila na Mkosamali hawawezi achiwa kirahisi hivyo.Tazama issue ya Kafulila alivyochakachuliwa ndio utaamini..
Zitto sio mpinzani, ni tawi la ccm.
kwa tathmini ya kitaalamu zito hatakiwi kupongezwa si na ccm wala upinzani kwa sababu zifuatazo
ameshindwa kila upande
mtakumbuka zito alikuwa kwenye payroll ya TISS ili aisambaratishe chadema, lakini inteligensia kali ya chadema ikambaini hatimaye ikamtimua chamani kabla ya kuleta madhara
tangu alipoondoka cadema chama kimeimarika na kupata mafaniko makubwa sana
1. kimeweza chukua viti vingi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
2. kimefanikiwa kuhinda uchaguzi mkuu wa raisi wa muungano kwa 62% ingawa tume na ccm wanalazimisha 58.8%
3. chadema imeongeza idadi ya madiwani ana kuongoza zaidi ya halmashauri 22
4. chadema imeongeza idadi ya wabunge wa kuchaguliwa toka 22 mpaka takribani 40
5. kwa asilimia ya ushindi wa raisi, kwa muhjibu wa ccm chadema itakuwa na wabunge wa viti maalumu takribani 40 jumla ya wabunge itakifika kama 90 baada ya kushinda kesi mbalimbali za kupinga matokeo
6. chadema imeongeza idadi ya wanachama toka mill 4 mpaka mll 9 nchi nzima
kwa kifupi zito kashindwa kuisambaratisha chadema
kwa hiyo hata ccm na TISs hwawezi mpongeza mtu ambaye amefeli mission walitomtuma
kwa upande mwingine zito hawezi kupongezwa na wapinzani kwa kuwa hakushiriki na upinzani katika uchaguzi huu alikuwa mbinafsi hakutaka kujiunga na ukawa na aliwaponda ukawa, hata mgombea wa uraisi kupitia chama chake ameyakubali matokeo feki ya uraisi,
si hivyo tu ukiangalia structure ya chama chake utagundua YA KUWA NI CHAMA CHA KILICHOPANDIKIZWA NA tiss ILI KUPUNGUZA nguvu ya ukawa- huku nako kashindwa vibaya
hiyvo hakuna mpinzani anaweza mpongeza huyo kibaraka wa watawala
Mkuu samahan uchaguzi upi Chadema wamepata wabunge 40? Pili ongezeko la 11% toka 2010 la kupongezwa?? Hivi CDM iwe na wanachama million 9 then wapate kura 6 million au ndo kashida kwa kura million 10 Ila amechukua wabunge 40 out of 264??
Zito si alijinadi atapata wabunge 50. Sasa wako wapi?Nikweli mkuu pia wametangaza chama nchi nzima?.
Hawakufanikiwa kujiunga ukawa lakin wana mbunge 1 na madiwani zaidi ya 30.
Uchaguzi huu ACT imefanikiwa kimkakati na kimatokeo kuliko NCCR iliyokuwa ndani ya Ukawa.
Mshaanza vimbelembele na kujipendekeza!
yalimoz's Avatarumechukua viti vyote 12 vya udiwani umebeba. umedhihakiwa sana. sasa kachape kazi. ndo maana wahenga walisema kuwa NUNGU SI ATHUMANI. MUNGU ANGEKUWA BINADAMU TUNGEANGAMIA WOTE. hongera.
Sawa mkuu nimekuelewa 0.0068 ni ndogo kuliko 0.01,Niliangalia vibaya.
Lakini tambua wataalamu wa hesabu huwa wanakosea hesabu nyepesi kuliko ngumu mara nyingi ingawa si mara zote.
but shukrani kwa marekebisho yako.
Huyu Zitto alipokimbia CDM alisema amekimbia ukabila. Lakini hiki kilichopo ACT ni zaidi ya ukabila. Waweke tu HQ yao Kigomaumechukua viti vyote 12 vya udiwani umebeba. umedhihakiwa sana. sasa kachape kazi. ndo maana wahenga walisema kuwa NUNGU SI ATHUMANI. MUNGU ANGEKUWA BINADAMU TUNGEANGAMIA WOTE. hongera.