navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 482
matusi hayana tija km huwez andika ustarabu acha hatujazoea matusi humu
Matusi na ukawa
n kama lowasa na kujinyea
matusi hayana tija km huwez andika ustarabu acha hatujazoea matusi humu
Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini?
Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu.
Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao ndio wanakupa majibu ya hali ilivyo kwenye file la mtu wenu. Kwamba hazina haijapeleka makato, ila unaweza kuwasiliana na CUSTOMER CARE MANAGER, yeye atajua namna ya kushughulikia madai yenu kwa haraka.
Tatizo sasa, ni namna ya kumpata huyo Customer Care Manager, mara uambiwe hayupo ofisini, mara uambiwe simu yake inaita tu bila majibu. Jamani tufanyeje sasa sisi watu wa huku mbali, na ndugu yetu ni mahututi? BACK TANZANIA
Chadema kama kweli wanataka mabadiliko wangeganya fair election kumpata mgombea wa urais
lakin uhuni wa yule dj maarufu aitwaye mbowe ndio ulitawala pale kwenye mchakato
Pili
kama chadema wanataka mabafiliko waanze na katiba yao wenyewe isiyofuata misingi ya kidemokrasia na inayopingana na katiba ya nchi(Article 107A) inayoipa mamlaka mahakama kutoa uamuzi wa mwsho katika kutoa haki lakin katiba ya chadema ukishtak chama mahakaman umekwenda maji
Muulize zito kabwe
Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa madaraka.
Makamba alitoa kauli hiyo katika viwanja vya Barafu mjini Dodoma wakati akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde. January alisema kuwa Lowassa ameivuruga demokrasia ndani ya Chadema na kupeleka mizengwe itakayokiua chama hicho na umoja wao.
Yale siyo mabadiliko kama wanavyojinadi bali ni uroho wa madaraka kwa mtu mwenye uroho na chama chenye uroho, lakini hawezi na hawawezi kushika madaraka ya kuongoza nchi, alisema Makamba.
Alisema kinachoendelea kwa vyama vinavyounda Ukawa ni maigizo na siyo mabadiliko ya kweli kwa sababu mgombea urais ametoka CCM na Sera za CCM na mgombea mwenza ametoka CUF na sera za huko, hivyo hawawezi kuungana kwa pamoja kwa sababu hawajui nini maana ya kile wanachogombea.
Hata hivyo, Makamba alikiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi na akawataka wana CCM kujiandaa kikamilifu.
Alisema CCM kinapaswa kuwa makini na imara wakati wote ili kutoyumba na wakifanya hivyo watajikuta wanapata mchanganyiko ambao utaleta shida katika maendeleo.
Kwa upande wake mgombea ubunge Mavunde alijipachika jina la Mr Makao akisema lazima ataipelekea Dodoma hadhi ya kweli katika kufikia makao ambayo yamekuwa yakisemwa kama hisani.
Mavunde aliomba wananchi kumwamini na kumpa nafasi hiyo kwani ana uhakika kwa miaka mitano ataifanya Dodoma kupaa kiuchumi huku akisema atashughulika na watu wenye kipato cha chini pamoja na kumaliza migogoro ya ardhi.
Chanzo: Mwananchi
Nimeipenda ndiyo maana nimeamua kuirudishaHii mbona tushaisoma humu au wewe ndio unaijua leo? Ina wiki humu.
Tatizo lako nini?Sidhani kama mtoa post usingizi umekuacha salama,au kama umeoa basi usiku ulopita umenyimwa unyumba.
Kama umeipenda si usome mwenyewe tu! unadhanu hapa watu wanamuda wakurudia post za kijinga jingaNimeipenda ndiyo maana nimeamua kuirudisha