Hapana kuna vitu hataki kuvitaja hapa nadhani hiyo 1,800,000= ndio riba anayoita ADA na mkopo(Principal) upo pale pale... = 6,000,000 gawa 20 =300,000 + 90,000= sh 390,000 @ mwz
jumla utalipa sh 390,000 x 20 = 7,800,000 ni sawa na riba ya 32% wakati wao bank wanakopa 18%, Biashara iko...