Yeyote mwenye laptop ya kukodisha kwa miezi 3 tuwasiliane hapa hapa au PM
Iwe angalau na Window 7 or better
Iwe na uwezo wa kutunza charge angalau 1 Hr yaani battery yake nzuri
Processor core i3 au zaidi, iwe na microsoft office , ant virus n.k
Matumizi ni mwanafunzi wa chuo kikuu