Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint

Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima typhoid, malaria na UTI zote hakuna....

Doctor nisaidie
 
Pole. Meza tembe mbili za Panadol kabla ya kula lunch...
 
Sina muda sana mkuu huu mwezi wa 4
Pole sana mkuu jaribu kujiunga na club za wagonjwa wa kisukari wakupe maujanja ya kuishi na huo ugonjwa maana kama ndio una miezi 4 toka uupate unaweza ukakupatia mawazo sana kiasi cha kuweza kuhisi kuwa huwezi kumaliza miezi 6 ukiwa nao ila ukishazoeana nao mbona unadunda tu lands mchawi wa sukari ni UKIMWI
 
Asnte kwa ushaur mkuu
 
Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint

Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima typhoid, malaria na UTI zote hakuna....

Doctor nisaidie
Mkuu inaonyesha bado unayo maradhi ya kisukari yanakusumbuwa. Nenda pia Hospitali ukapime Damu Full blood picture itaonyesha kitu gani kilicho punguwa mwilini mwako. na huenda pia una upungufu wamMadini au vitamin mwilini mwako. fuatilia vipimo kisha uje hapa utupe mrejesho wako.Kama hujapona Kisukari nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona uguwa pole.
 
Sukari kitaalamu inatakiwa kuwa ngapi mwilini?
Binafs nikinywa soda sukar inapanda mpaka 20,chai inapanda mpka 18 au 17
Nikiwa nimekula chakuna inakuwa around 13+
Kama sijala chochote ni 6 mpaka 7.
Naombeni ushauri wenu hapo nn cha kufanya.
 
Kwa kawaida Sukari inabidi ianzie 3.5 - 7.5mmol/L

Kwa mtu ambaye hajala chochote inabidi ianzie 3.5 - 5.5mmol/L na mtu ambaye ameshakula basi sukari kawaida huanzia 5.5 - 7.5mmol/L

Sukari ikiwa chini ya 3 ni kisukari cha kushuka, na sukari ikiwa zaidi ya 8 ni kisukari cha kupanda.

Note, ukiwa na sukari kuanzia 8 - 12mmol/L baada ya kula, ni rahisi zaidi kutibika bila kutumia dawa.
 
Samahani mkuu rudia kusoma vizuri, SIO KWELI

Asubuhi hujala kitu isizidi 7 kawaida, ikizidi 8 na kuendelea huyu ni muathirika wa kisukari

Baada ya mulo aidha B/fast au Lunch au Dinner pima baada ya masaa 2 kwa kwaida isizidi 11,,
ikizidi 12 na kuendelea huyo pia ni mwathirika wa kisukari.
 
Iwe Dona isiwe Dona vyote ni hatari, watu wanaongopena Dona ni hatari tu, vyote ni wanga. Uzuri ni kwamba 8 hapo sukari bado unarudi kawaida faster, shukuru umefahamu kabla hujapata sukari

Yaani hii ni kweli kabisa aisee, ukienda hosp mara wakwambie tumia asali usitumie sukari. Ukishailamba hiyo sukari balaa lake ukipima unakuta inasoma 18.

Hayo madona na kusema ule brown breads ni kupotoshana tu
 
WEKA HAPA KAMA SIO UTAPELI
Dawa ya sukari kweli hakuna ni kufuata masharti ya kupunguza ulaji wa sukari na wanga
Mimi kuna mganga toka milima ya Usambara aliniuzia unga wa mitishamba km kilo moja na nusu nichanganye na maji lita 20 ninywe kutwa mara 3 wiki moja iishe atume part 2
Niliugua zaidi na stroke ikaninyemelea mkono wa kulia nimemtafuta kwa namba zake hapatikani, Hosp ndio imeniokoa Sasa nafuata masharti nipo sawa jamani Msiwaamini WAGANGA WA KISUKARI
 
Habari Wana JF,

Naomba kufahamishwa taasisi inayohusika na ugonjwa wa kisukari, jina lake na mahali ilipo kwa Tanzania.

NB: Nahitaji data na Elimu ya Diabetes kwa ujumla.

Kama unaitaj Elimu jinsi ya kujikinga na kisukar njoo pm utapata Elimu hiyo bure pia kuna na tiba lishe inayoondosha kisukar kabisa ila ina bei ,na inaponya kabisa ,ofs zetu zipo dar,dodoma na mwanza njoo uhudumiwe
 
Back
Top Bottom