Experience yangu diclofenac inasaidia ku control blood glucose

LIFE HELP

Senior Member
Nov 29, 2012
149
71
Hi JF Members kama nilivyo eleza hapo kwa uzoefu wa muda mrefu sasa kila nilipokuwa natumia diclofenac kwa ajili ya kupunguza maumivu hasa usiku imekuwa inatokea asubuhi blood sugar level imeshuka chini one level extra kuliko kawaida yangu kwa yeyote anayeweka kuelewa sababu atusaidie , pia nawaomba wataalam wetu wa afya Dr's walifatilie hili linaweza kusaidiwa na wengine.

Naomba michango yenu kwa manufaa ya wote
 
Una shida ya kisukari (Diabetes mellitus) ?
Hi JF Members kama nilivyo eleza hapo,
kwa uzoefu wa muda mrefu sasa kila nilipokuwa natumia diclofenac kwa ajili ya kupunguza maumivu hasa usiku imekuwa inatokea asubuhi blood sugar level imeshuka chini one level extra kuliko kawaida yangu.
Kwa yeyote anayeweka kuelewa sababu atusaidie , pia nawaomba wataalam wetu wa afya Dr's walifatilie hili linaweza kusaidiwa na wengine.

Naomba michango yenu kwa manufaa ya wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom