Posts za Ifweero, Msalani, Simiyu yetu, Lizaboni na wenzao, humu ndani ya JF zimekosa utashi wa kijamii. Zimekuwa za kitoto mno, kwani wanalazimisha kupost items lkn hazina content, za kitoto na kipuuzi mno. Wangekuwa na akili za kujitambua kweli wangejirudi na kubuni njia nyengine ya...