masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Nijuavyo mimi mtu akiwa na makengeza hawezi kuwa askari,sasa sijui kova aliwezaje kua askari kama hakutoa kitu kidogo!
Acheni kumpakazia Kamanda Kova!!
Nijuavyo mimi mtu akiwa na makengeza hawezi kuwa askari,sasa sijui kova aliwezaje kua askari kama hakutoa kitu kidogo!
![]()
Acheni kumpakazia Kamanda Kova!!
Agenda sii ni zile ambazo CCM huwa wanaziiga? Kulikuwa na suala la katiba na halikuwa agenda ya CCM, wameiga lakini utekelezaji wake ni mizengwe mitupu. Kutoa Elimu bure CCM walipinga sasa eti ndio wanazungumzia. Kuwezesha wananchi kujijengea nyumba bora kwa kuhakikisha vifaa vya ujenzi vinashuka bei nayo CCM eti ndio wanaanza kuongelea.
Suala la maandamano lipo dunia nzima na sehemu nyingi ndilo lililoleta mabadiliko na hata kuondoa serikali dhalimu madarakani ila hapa Polisi wetu kwa vile upeo wao wa kuelewa na mkuu wao anateuliwa moja kwa moja na mkuu wa nchi ambaye ni mwenyekiti wa Chama tawala wanatumika kukandamiza demokrasia.
umeshindwa kuleta vielelezo badala yake umeleta povu ! Utamdanganya nani humu jf wewe ?Wewe hujui siasa kama vile CDM na ndiyo maana mtalalama lakini ikulu mtaambulia kualikwa kwenda kunywa juisi siku ambayo mshindi wa CCM atakapoamua kuwaalika. Kiongozi wa siasa kazi yake ni kuhimiza wananchi washiriki kwenye shughuli za maendeleo siyo kufanya mwenyewe, bali katika kuhamasisha lazima awe karibu na wananchi kitu ambacho CDM na wapinzani wengine kimewashinda. Wananchi wenyewe wanajua hilo hawahitaji hata kukumbushwa. CDM wenyewe wanaandama tu kwenye barabara za lami ambazo zimejengwa na serikali ya CCM huku wakiidharau na kuikejeli. Hawataki kwenda kujenga mizizi ya chama karibu na wananchi. Hivyo walie tu.
Kwa sera za Maandamano CHADEMA wanaongoza!.
CHADEMA hawana agenda mbadala za kitaifa zitakazo waweka machoni mwa wananchi wengi, kwa sasa wanachofanya ni kutafuta attention kwa njia zozote.
Who cares about BAWACHA.
Halima Mdee na BAWACHA yake anadhani style ya maandamano yasiyopata go ahead ya polisi BAWACHA watapata positive coverage.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuwaza ama kuandika pointless kama hii uliyoandika wewe. Halafu bila aibu ccm inajisifia kwamba ina viongozi vijana makini my foot! huu ndio umakini gani wa kushindwa kutambua vitu vidogo sana ambavyo havimuhitaji mtu kwenda hata darasa la kwanza kuvifahamu.
hukumu ya viboko inamtosha huyu Dada.
Nijuavyo mimi mtu akiwa na makengeza hawezi kuwa askari,sasa sijui kova aliwezaje kua askari kama hakutoa kitu kidogo!
Ndugu,
Chama chochote ambacho hakiendi na wakati ndani ya matumaini ya wananchi ni chama mfu.
Kama CCM ingekuwa haina sera zinazotekelezeka ambazo zinazoenda na matumaini ya wananchi, basi kwa ingekuwa ni chama cha upinzani.
Kwa nini hao wenye sera unazodai CCM wameiga hawakukabidhiwa nchi. Kwa nini kimepewa nchi chama ambacho kazi yake ni kuiga sera za vyama vingine.
Huoni kama hoja yako haina mantiki.
CCM inaenda na wakati katika kazi zake za kulijenga taifa endelevu.
Hivi Halima Mdee alishajisafishaga kwenye zile kashfa ambazo zilivuma sana mwaka juzi? Naona anachokifanya kuwatunishia misuli polisi kinashabihiana na kashfa zile
Mdee haya mavurugu sijui kafundishwa na nani.. BAWACHA wamemuharibu sana
Wewe ri Mwita Maranya uritorokea wapi?Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuwaza ama kuandika pointless kama hii uliyoandika wewe. Halafu bila aibu ccm inajisifia kwamba ina viongozi vijana makini my foot! huu ndio umakini gani wa kushindwa kutambua vitu vidogo sana ambavyo havimuhitaji mtu kwenda hata darasa la kwanza kuvifahamu.
Kwa sera za Maandamano CHADEMA wanaongoza!.
CHADEMA hawana agenda mbadala za kitaifa zitakazo waweka machoni mwa wananchi wengi, kwa sasa wanachofanya ni kutafuta attention kwa njia zozote.
Who cares about BAWACHA.
Halima Mdee na BAWACHA yake anadhani style ya maandamano yasiyopata go ahead ya polisi BAWACHA watapata positive coverage.
Sasa mbona umekaa kwenye kompyuta unaandika andika ovyo tu!
sasa mbona yeye anawasumbua wengine
Lakini sio polisiMbona kuna Kamanda ana makengeza? Aliwezaje kuwa kamanda?
Mbowe na Slaa si wanajiita makamanda! Tena wanava magwanda makuuubwa kama kanyelamumo!
Mbona kuna Kamanda ana makengeza? Aliwezaje kuwa kamanda?
Hao ni makamanda waukweli wenye nia yakumng'oa mkoloni mweusi ccm huwezi fananisha na wale makamanda wa policcm.
sasa mbona wanapigwa na kulialia kwenye media