Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

SLAA naye akasema kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa hawana tatizo na ZITTO, ni kijana wao. Nani mkweli? CHADEMA acheni kutudanganya, muombeni msamaha ZITTO.

Aombwe msamaha na nani huyo msaliti? Msome vizuri mbowe umuelewe!
 
Uwe na heshima Vianelly Vian ...si lazima ukashifu kutoa hoja. Sijabeza mchango wa Zitto kwenye siasa za Tanzania hasa kwa vijana, nilikuwa nikisoma Muhimbili wakati Zitto anasoma Mlimani, na yeye ndiye aliyeni'inspire' kujiunga na Chadema (nilishawahi kukiri hili hapa JF), lakini hilo haliondoi ukweli kuwa amejiwekea 'price tag', amenunulika, na amekuwa msaliti...si kwa chama tu...pia kwa sisi aliotuinspire, vijana wa Tanzania, na pia waTanzania wamependao mabadiliko. Inawezekana kina Sugu wamekuta njia imeshafagiliwa ndio, lakini imefagiliwa na nani!? Si Zitto pekee, na kama Zitto akidai credit za kukifagilia chama...Slaa atadai nini!? Na kama hao waliokuta njia imefagiliwa wanawork hard kuimaintain safi wakati mfagizi yuko busy kurudisha takataka njiani...nani ana thamani kwetu!?

Mkuu umenena vema sn,
Ktk kampen 2010 nlimsikia Lema akiahd kuwa "..huku akiwepo zitto, kule Mnyika, hapa Mdee, na pale Mimi(yeye lema) hakika CCM watatafutana.."
Lema kaingia bungen anakuta zzk sio yule mpganaj wa Kweli tn, amekuwa mbinafs kila hoja yake ni yake pekee yk na haktaka kuchangamana na wabunge wenzake, wakiwa op ile zitto yupo kivyake, walipotoka nje hotuba ya Rais bungen zzk akabaki, haikutosha bado akashiriki kuandaa waraka wa usaliti uliokuwa na kauli za kejeli na matusi kwa viongoz wake wa juu, hii imemchafua sn maana pia ameonywa sn lakn ni mbishi na co mfano mzuri tn kwa vjana ktk maadili though anakuwa na hoja ktk masuala mbalmbal ya uchumi na ufisadi!!!
 
Habari ya zitto ilishafungwa, kwa sasa yupo act ambako napo kunafuka moshi! Sijui atakimbilia wapi huyo dogo ndumilakuwili
 
Watu wa kigoma wananini kwani?


Hata mimi namshangaa kutusemea eti watu wa Kigoma, sio wote wenye siasa za kinafiki kama huyo mpuuzi.Wengine tunajitambua hatuishi kwa kulamba viatu vya wasaliti hao waliotutia aibu,Tunaipenda CDM na tutaendelea kuipenda kwa sababu hatujaenda Cdm kwasbb ya Zitto!
 
SLAA naye akasema kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa hawana tatizo na ZITTO, ni kijana wao. Nani mkweli? CHADEMA acheni kutudanganya, muombeni msamaha ZITTO.

Mwl. Nyerere alisema kama masihara lakini naanza kuona ukweli wake ya kwamba kuna dhambi nyingine mtu akizitenda haachi, na kama kula nyama ya mtu, huwezi kuacha. Dhambi ya usaliti inaendelea kuwafuata wasaliti. Kina Mwigamba Kitila wameshawajibishwa tena na chama chao kwa makosa yale yale. Zitto nawenzake waungame dhambi hii ndio watapona.
 
Kwanza namshangaa huyo Zitto nawapambe wake kwakukosa mshipa wa aibu na hata shukurani,aliyoyasema Jana Mh Mbowe yote nikweli kwa sababu hata sisi tulikuwa tunamchangia hela yakula naya mafuta kuweka kwenye gari aliyopewa na Mbowe.Lakini pia tuna mshangaa kwakujiita mzarendo wa Kigoma,atuambie chimbuko lake niwapi?
 
Hii mambo ya kukitoa mbali chama ndio imeiua CCM,,,,! na mh,,zitto mwenyewe aliamini hivyo,,, ila nafasi bado ipo anaweza kuwaomba Radhi viongoz wenzake na wanachama akaendelea kwenye safari ndefu kujikwaa kupo chamuhimu kutambua ulupokosea
Kama alivyofanya Kafulila ila tatizo kwa jinsi navyoona wenye chama chao kama hawamkubali sana jamaa baada ya kutambulika rasmi kama msaliti bila kujali kwamba undani wa usaliti huo wanaujua ama hawaujui
 
Hii mambo ya kukitoa mbali chama ndio imeiua CCM,,,,! na mh,,zitto mwenyewe aliamini hivyo,,, ila nafasi bado ipo anaweza kuwaomba Radhi viongoz wenzake na wanachama akaendelea kwenye safari ndefu kujikwaa kupo chamuhimu kutambua ulupokosea


Kwa mtu yeyote makini na mpenda mageuzi asingependa kumuona huyu mpuuzi analudi Cdm namimi nikiwa mmojawao,Zitto ametusaliti mda mlefu,ni Zitto huyu aliyeanzisha sera zake za udini na ukabira akishirikiana na Ccm.Ametugawa watu wa Kigoma kwa sababu hizo eti asamehewe? Nashauli chama kisiludi nyuma ili iwe fundisho kwa watu wanaoingia kwenye siasa bila kujua wajibu wake nakufikiria matumboyao!
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Think properly. Au hujui kusoma? Mbowe ndiye aliyemwingiza Zito kwenye siasa. Sasa Zito katoa chama mbali wapi? Why can't you think before you leap? Sijali kama wewenji fan wa Kabwe au la but eventhough unategemewa kutumia akili zaidi kuliko hisia. Kwani watubwa Kigoma wamekuwa niji hata wachezewe? Hii siyo karne ya ushirikina. Fuatilia vizuri maneno ya Mbowe kabla hujashoboka.
 
Braza umeandika kama umewekewa kijiti!!! Mbowe ameongea Ukweli Mtupu ambao ww na mimi tunaujua .... ZZK aje hapa akane kama kuna uongo hata chembe!! Grrrrr
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.
 
Habari ya zitto ilishafungwa, kwa sasa yupo act ambako napo kunafuka moshi! Sijui atakimbilia wapi huyo dogo ndumilakuwili

Zitto asitupotezee muda kum discuss, aende tu kwa wafadhili wake ccm. Namba yake ndani ya Chadema imeshafutwa, ameshakuwa obsolete. Akitaka aombe tena uanachama, ili awe considered afresh, akubaliwe au akataliwe
 
Think properly. Au hujui kusoma? Mbowe ndiye aliyemwingiza Zito kwenye siasa. Sasa Zito katoa chama mbali wapi? Why can't you think before you leap? Sijali kama wewenji fan wa Kabwe au la but eventhough unategemewa kutumia akili zaidi kuliko hisia. Kwani watubwa Kigoma wamekuwa niji hata wachezewe? Hii siyo karne ya ushirikina. Fuatilia vizuri maneno ya Mbowe kabla hujashoboka.

Mkuu usiumize kichwa hayo ndivyo yalivyo hata uelewa wake umeishia hapo kwenye Ukabila tu! Mimi nimtu wa Kigoma lakini nasikitika kuzaliwa mkoa uliojaa wapuuzi nawanafiki.Ukiwambia hata kuchangia chama sio lahisi kuwapata watakaochanga kwa moyo bila kuwaza kupewa chochote yeye! Hakika kama kabila lingekuwa linabadilishwa ningefanya hivyo'mungu anisamehe!
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.


----- kweli wewe...yaani Zitto kakitoa chama mbali? kanye ulale huko
 
Hivi Dr.Kabouru alitokea Uingereza au Marekani! Wakati huyu bwana amekuja Kigoma alisema anatokea Marekani.
 
Mbowe alihongwa na Nimrod Mkono milioni 20, akaliuza jimbo la Musoma Vijijini.
 
Mbowe naona ameanza kujipendekeza kwa watu wa Kigoma. Bila Kigoma hakuna Upinzani Tanzania.
 
Report hiyo inawataja viongozi wawili wa upinzani kuhusika na ukwapuaji fedha kupitia Escrow

Akili nyingine kweli si akili!

Just imagine, report ya CAG inawataja viongozi wawili wa upinzani kuhusua na ukwapuaji wa RUZUKU ya Chama Tawala (CCM)
 
Back
Top Bottom