feisalmollel
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 301
- 27
Ivi umeme wa kutumia mafata kutoka mabara ya nje ni rahisi kuliko umeme wa kutumia gesi inayopatikana nchini kwetu!!
Na je kafulila lile duka la mkoono la kesi isiyoisha na kutumia mabillions ya fedha unaona ni sahihi! Maana mh. Mkono alikua ananufaika sn na kuiendesha ile kesi hadi ilipomalizika huku kwetu bungeni watu walisema duka la mh.mkon limefungw.
Mh. Kafulila hili mbona huliongelei au kunamkono wa mh. Mkono kwako!
Pia mh. Kafulila mbona husemi kuusu kufungwa kwa gesi ikatumika badala ya mafuta! Au unawaogopa symbion!
Kwasababu gesi imeshafika hadi mdomoni mwa. Tanesco je kuna kigugumizi gani cha kuunganisha bomba lile tanesco watumie hiyo gesi yetu ya mtwara ili mwananchi wa tanzania apate unafuu katika kutumia umeme ikiwezekana aanze kupikia n.k!!!
Imegundulika kuna mafisadya iptl yan iptl kutumia gharama kubwa ya kuendesha kesi isiyoisha je uliona ni sahihi! Mbona huliongelei! Maana mh. Mkono alikuwa anapatiwa billions of money kuendesha kesi isiyoisha hadi kufikia kuita duka la mh. Mkono!!
Gesi imefika hadi tanesco kwanini haiunganishwi!!
Au ndo ule usemi usemao kuna wanaonufaika na matumizi ya hayo mafuta kutoka nje ya nch!
Watanzania tumerogwa na nani!
Tuwaonee huruma watanzania maisha magumu sana kwani hao symbio hawana huruma na watanzania.
Nawasilisha wanajamvi kwa uchungu na masikitiko makubwa sn kama mzalendo