Recent content by LIDEGE

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Eeh
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uhusiano wa harufu mbaya na kutema mate

    Kutema mate ni uchafu mkubwa sana wala hakuna uhusiano wa kibaolojia. Ni tabia za wachafu tu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ninaposemaga Tanzania bara si salama kusafiri usiku huwa mnanipinga, sasa mmeamini

    Wewe kweli ushavuta bangi nani ashawahi kupiga picha majambazi wakiteka gari...Au unafikiri ndo muvi mnazoangalia za kutekwa.....Hujawahi kutekwa mkiwa na gari ni hatari
  4. L

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali ya kugongana na gari ndogo maeneo ya Iyovi

    Kuna kitu huwa nakiona barabarani hadi nashangaa. Labda penginw elimu yangu ya mwendo wa vyombo hivi ni ndogo. Hivi kama sheria inasema gari itembee speed 50 hivi hii speed hutofautiana kwa gari kubwa au dogo? Maana utakuta trafiki wanakamata vibasi vidogo kwa mwendo kasi lakini unakuta NEW...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari PRIDE Tanzania, wafanyakazi wabaki njia panda

    Ni kweli wamefilisika maana mwaka huu hawajawakopesha watu huku iringa vijijini wakat kila mwaka walikua wanatoa fedha
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ijumaa Kuu huwa ni mapumziko kwa shughuli za Serikali?

    Si kweli acha udini wewe
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ijumaa Kuu huwa ni mapumziko kwa shughuli za Serikali?

    Udini unakuwasha. Ijumaa kuu inatambulika na Nchi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waarabu,Wahindi,Wapemba,Wachaga wana siri gani katika biashara?

    Acha ulevi na uhuni wa kuhonga wake za watu utatajirika
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar ni wachoyo sana.

    Mfumo wa maisha ndio wa kulaumiwa sio watu. We umeachwa na mmeo unakimbilia dar nani akulishe
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Political hygiene
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Yani huwa nashindwa kuelewa hawa wenzetu wanakosaje haki au wanapata dhulma gani sijui. Srikali inaajiri mtanzania aliyesoma tu na wala sioKUSOMA MADRASA AU BIBLIA SEMINARI.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Ata mi sikumwelewa huyo sheikh sikuuelewa vizur usomi wake uko wapi alikwenda nje na maada kabisa kama kilaza flan.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Trump amfukuza kazi Waziri wa mambo ya nje Rex Tillerson, amteua Mike Pompeo kuchukua nafasi yake

    Sio kamtimua kampumzisha maana ashazeeka.....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV na kipindi cha upande mmoja

    ITV sasa haina mvuto sasa kipindi kile sijui anategemea waziri atasemaje au atapinga kwamba serikali haifanyi vizuri?? kwakweli ITV kuweni creative na baadhi ya vipindi mfano kipindi THIS WEEK IN PERSPECTIVE japo sitazamagi TBC lakini huwa nalazimika kutazama.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    HOW THE COLLAPSE OF RUSSIAN SOCIALISM WAS A DETRIMENTAL PHENOMENON IN THE SOCIALIST COUNTEPARTS?
Back
Top Bottom