Naomba kujua uhusiano wa harufu mbaya na kutema mate

Habari za saa hizi,

Naomba kujua kwa mwenye kufahamu, hivi kuna uhusiano gani mtu anapohisi harufu mbaya na kutema mate?

Naomba ufafanuzi
ni mazoea tu kwanza mate yenyewe mtu anayatoa kwa shida.... ukilinganisha anapohisi harufu nzuri yani mate yanajileta yenyewe bila shida.
 
Ni mazoea tu.

Kwa mfano mimi nikinusa harufu mbaya natoa machozi.
 
Hua mtu akihisi harufu mbaya anakereka mpaka anasikia kichefu chefu,kile kichefuchefu ndo kinamfanya ateme mate
 
Hiyo ni body mechanisms za Ku release fluids kama defensing au mwili kuandaa mazingira flani automatic.
 
Kutema mate ni uchafu mkubwa sana wala hakuna uhusiano wa kibaolojia. Ni tabia za wachafu tu
 
Back
Top Bottom