Mkuu nilikuwa vizuri, sikuhitaji chochote toka kwao bali salamu tu.Ikiwa assumption yako ya kwanza kabisa ni kwamba hao jamaa ni wachoyo basi ni kweli ungekuwa kimeo... I mean, ulikuwa prepared kuwaongezea watu bajeti kwahiyo the best shot ilikuwa kukuambia wamesafiri!!! Hata mimi ningekuambia nimesafiri!!
Kwanini huku-assume kwamba Dar watu wapo busy sana kiasi kwamba wakigundua upo Dar na utawatembelea basi wanajifanya wamesafiri ili usiwaharibie ratiba zao!!!
Umekuja Dar kikazi kwa nini unataka kuwachosha watu!? Ungeenda kushangaa Coco beach na uwanja wa Taifa. Watu wa Dar hatupendi usumbufu. Safari yako ya kikazi unataka kutupa Kazi ya kutuchosha. Huku huwa hatupelekeani maboga na matembele.Hivi karibuni nilikuwa Dar es Salaam kwa safari ya kikazi, nilikaa huko Dar kwa muda wa wiki mbili, hivyo nikaamua kuwatafuta ndugu jamaa na marafiki ili niwasalimie kabla sijarudi kwetu.
Majibu niliyokuwa napata yalinishangaza sana, kila niliyempigia simu na kumwambia nipo Dar aliniambia yupo safarini Bagamoyo mara Zanzibar, nikabaki kujiuliza ina hawa watu wote walipanga kwenda Bagamoyo mimi nikija Dar, nimejaribu kushare jambo hili na watu mbalimbali wameniambia hata wao yaliwahi kuwakuta hayo.
Jambo lingine ambalo nimeligundua watu wa Dar wana maisha magumu tofauti na wanavyojikweza hivyo wanaona ukiwatembelea au ukikutana nao wataumbuka.
Watu wa Dar acheni uchoyo, mbona nyie mkija huku Mwanza na mikoani tunawapokea vizuri na kuwakarimu vizuri kwanini tukija huko kwenu mnaanza visingizio vya safari.
Salamu ungetuma kwa kupitia Radio One mkuu. Wewe ulikuwa una yako mengine jamaa zako wakakushtukia.Mkuu nilikuwa vizuri, sikuhitaji chochote toka kwao bali salamu tu.
Salamu ungetuma kwa kupitia Radio One mkuu. Wewe ulikuwa una yako mengine jamaa zako wakakushtukia.

Mwanaume wa dar anatembea polepole?Uku tupo bize ndomana tembea yetu tofauti na ya Wa mikoani! unakuta mwanaume anatembea polepole kama anasukumwa..
😄😄😄😄Mara nyingi wanadai wameenda kibaha safari ya ghafla, Maisha yanakaba watuHivi karibuni nilikuwa Dar es Salaam kwa safari ya kikazi, nilikaa huko Dar kwa muda wa wiki mbili, hivyo nikaamua kuwatafuta ndugu jamaa na marafiki ili niwasalimie kabla sijarudi kwetu.