Recent content by Lidedecdc

  1. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mvumilivu...hatimaye.... Hongera sana...
  2. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    TAASISI ni KICHAKA tu cha kutaka KURUDISHA enzi za KURITHISHANA mashirika ya UMMA...hawana KABISA sababu ambazo ni za MSINGI...hapa NGUVU zingewekwa KUIBORESHA PSRS na SI vinginevyo.... Kwa ambao wamelamba asali wanajua maswali tunayokutananayo huko kwenye mashirika baada ya kufanikiwa kuingia...
  3. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mtalamba asali tu wana, huku kwenye pipa tupo na wazee kwa asilimia kubwa, wengi wanastaafu mwaka huu na mwakani...so nafasi ni nyingi mnoo... Karibuni sana kwenye MAPIPA ya ASALI..najua mtakuja tu...Kikubwa Dua.
  4. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hehehehe...tunasubiria tuone vita kati ya Intern,Baba kanituma na hustlers
  5. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuwa mpole....utaitwa tu..
  6. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wale wana pale nje wa Bodaboda, watakua wanalia msoto mkali..hakuna vichwa vya kuvipiga hela nyingi kwenda TOWN...
  7. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Masjala ya WAZI naona wanachati tu SIKU HIZI...Hawana kazi KABISA.
  8. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwamba tuliza munkari, humu wote tunaongea lugha moja, ndomana tupo ambao tayari Mungu ametubariki tumetokea kwenye pdf, lakini bado tupo humu kuwapa faraja jobless, humu kuna jokes nyingi, ilimradi kuwapunguzia wana stress, kuna vibwagizo kibao kama "IT MTU...
  9. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nawaombeeni wana, ili Mamasta wa humu wote tulambe asali, Mungu atawabariki tu..IT rudisha ule MOTO wako wa JULY na AUGUST tafadhali... Hatujakuzoea hivi BOSS WETU..nini SHIDA?
  10. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kikubwa ni kujiandaa KISAIKOLOJIA...ukiona TAJIRI anafanya hivyo kuna mawili, HUENDA anataka wengi zaidi...au alionao mezani HAWAJAMSHAWISHI kuendeleanao...
  11. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wanataka UNDER 20...kwani kuna kazi ya kukimbia umbali mrefu VICHAKANI huko NGORONGORO?
  12. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaaaah...wengine wameingiziwa SALARY ya AUGUST...yani kuna taasisi zina hamu na majobless wastaaf...wakifika tu...wanawapa ofisi..
  13. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Anaona kama IT ghafla anatembelea Namba Moja...😅😅😅😅😅
  14. L

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapo ili kuondoa utata ni vyema ukafata tu hiko cheti, Japo siyo muhimu, ila tayari ameweka SHÀKA, unaweza kumpa cheti cha cha SCHOOL CANDIDATE msela wako ...😅😅😅😅
Back
Top Bottom