Gilbeti,mimi sio dogo!! Ile siku ya mqandamano MO29 vijana waliokuwa front niliwapa jumla ya cartons 50 za maji madogo wanywe wapate nguvu waendelee kukiwasha!
Mtu wa namna hiyo hawezi kusumbuliwa na vihela vidogo vidogo eti hela ya kula
YBWYB bwana Massawe...wasije wakapita nao huo
Mimi niliachana na hii serikali tangu October 29 mwaka 2025...Yanga niliikataa,Taifa stars niliikataa,chochote kinachohusu serikali ya ccm sina habari nacho...hao wasanii ndio kabisaaa maaamaee zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.