Sijasoma degree wal diploma ya IT,Nimejifunza na hata sasa bado najifunza na pia huwa nafanya kazi kwa kushirikiana na wengine hasa pale ninapokwama.Kama una uzoefu pia tunaweza kufanya kazi pamoja.
Karibu
Habari za wakti huu;
Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
Mkuu dhamana ni haki yake hata kama unamadai mamilioni.Kama ni wizi lazima uwe na ushahidi wa kueleweka ili uweze kumpeleka mahakamani.Jambo la kuzingatia kwa sasa ni kutafuta namna ya kuthitisha kama kweli anahusika na hizo mali zako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.