LkOrg
Member
- Mar 19, 2022
- 5
- 7
Uko sahihi kaka maana mshikaji aliahidi kutufundisha mpaka mwisho lakini amepotelea mitiniKufanya kitu bure ni ngumu sana asikwambie mtu
Uko sahihi kaka maana mshikaji aliahidi kutufundisha mpaka mwisho lakini amepotelea mitiniKufanya kitu bure ni ngumu sana asikwambie mtu
Mpaka wengine wameanza kutoroka vipindiKuchwizzy Unatafutwa huku umalize darasa maana wanafunzi tupo wengi
Acheni kuwa na haraka kwani umelipia ada tulia banaUzi ushatelekezwa huu sijui kwann huwa zinaishia njian
KweliNimefurahi sema kitu kimoja ambacho kaka zetu mnaharibu ni kuanzisha jambo na kuishia njiani kila siku humu watu anzia thread za kutusaidia then wanaishia njiani naumia sana aiseee pia ningekuomba tuwe na group la whatsap itapendeza pia kaka