Recent content by leveroi

  1. leveroi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu kutoka Dar kwenda Karatu

    Kuna jamaa yangu juzijuzi katoka zake Karatu hadi Dar na ndani ya wiki hiyohiyo karudi Karatu. Mbona kawaida tu. Muhimu ubora wa pikipiki yenyewe.
  2. leveroi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kweli nina wakati mgumu sana na ndoa yangu

    Unaposikia ndoa ndo hivyo. Lazima uwe na uwezo wa kukabiliana na kila hali inayojitokeza bora tu haihatarishi uhai wako. Usitegemee hats siku moja ukaishi ndani ya ndoa kama peponi. Kila changamoto itokeapo ndo nafasi pia ya kunipima kama umekomaa kiuanaume au bado una madhifu ya kutaka mkeo awe...
  3. leveroi

    JamiiForums Tanzania Wakati ACT-Wazalendo wakichangia shilingi milioni mbili,sitashangaa chama cha kijani nacho kikachangia ili kujisafisha na aibu hii ya kisiasa

    Wewe nawe...angalia rangi ya kijani isije ikageuza akili na ufahamu wako kuwa kama wa mbuzi mla majani.[emoji51] [emoji51] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. leveroi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Mbona mkuu wa kaya wakati fulani alijitoa kumlipia mtu pale Muhimbili halafu baada ya muda mfupi watu wakaanza kumchangia. Ile pesa ilikuwa ndogo sana kulinganisha na anachokipata na isitoshe ile ni hospitali ya kaya huku yeye akiwa mkuu wa hiyo kaya.. Hilo wewe hukuliona. Watu...
  5. leveroi

    JamiiForums Tanzania Mahakimu kupata dharura siku ya kesi ni udhaifu mkubwa wa muhimili wa Mahakama?

    Hivi mwenye mamlaka ya kuteua majaji ni nani. Na mwenye mamlaka ya uteuzi aweza kuwa na sauti juu ya wateuliwa?? "Tafakari, chukua ufahamu" Sent using Jamii Forums mobile app
  6. leveroi

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza aina mpya ya upinzani

    Hivi hiyo dreamliner imenunuliwa na chama au ni serikali kwa fedha ya kodi za wananchi wote? Tutofautishe fedha ya serikali na ya vyama vya siasa. Chama chochote kikitawala haina maana kwamba ndicho kinatumia fedha zake kwa uchumi wa nchi, hata kidogo. Kwenye halmashauri moja hapa nchini, chama...
  7. leveroi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuiacha Pombe, Uzinzi Unaniandama kwa kasi ya 4g.

    Mbona hueleweki vema mkuu. Umesema wakati ulipokuwa unachapa maji papuchi ilikuwa mbali na wewe kabisa hadi alipokuja huyo nesi ukaonja kamoja tu tena kichovu kabisa. Sasa huo uzinzi unaosema unakusumbua ndo upi. Labda malizia story yako ili tukuelewe vzr. Wengine huku hata kama tutaahidiwa...
  8. leveroi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

    Malengo yako kwake ni nini. Kama ni kula mzigo tu jiulize ana nini cha zaidi hadi ugharamikie hivyo, tena yakiwa ni malipo ya awali tu kama ya kulipia maombi ya kipatiwa kiwanja ambayo huwa hayarudishwi bila kujali utakipata au la.(unaringa mini Dada, ina TV ndani!!) Na kama ni kuoa sidhani kama...
  9. leveroi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo gani la siri na kushangaza uliwahi kuambiwa?

    Iseme tu, si unajua hata huku jamvini tupo kisirisiri ndo maana watu huwa wanafunguka bila hofu!!... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. leveroi

    JamiiForums Tanzania Mafumbo ya Nape Nnauye Twitter hayaonekani Tena, sababu Nini?

    Huu ni mwaka wa kufanyika ulaji mkuu.. .anajua akileta maneno kidogo tu baba mwenye mji ataagiza jumuia yake isimteuwe kugombea ulaji mkuu, na hapatakuwepo wa kujaribu kuyapinga hayo maagizo ndani ya jumuia ambayo nasikia inaitwa "Chukua Cha Mabavu" Sent using Jamii Forums mobile app
  11. leveroi

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotarajiwa kufanya uchaguzi mkuu 2020

    Kulingana na mwwnsndi mzima wa uchaguzi ulopita wa serikali za mitaa hapa nchini, mwakani patakuwepo na uteuzi wa wabunge na madiwani tu na si uchaguzi. Kwa upande wa rais hakuna haja ya hata ya uteuzi kwani hakika hata kama atatikea mgombea wa upinzani anayeng'ara kama dhahabu kwa wananchi...
  12. leveroi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mawasiliano kabla ya kufungia line zetu mkawafunge kwanza NIDA

    Hawa NIDA kiuhakika wanapaswa kuwajibishwa kwanza ndo wananchi wafuate. Leo kuna ndugu yangu alikuwa amejiandikisha toka oktoba na wakamwambia namba yake ataipata baada ya mwezi mmoja. Sasa cha ajabu leo tarehe 23/12/2019 ameenda kufatilia japo namba yake, ila akapigwa na butwaa baada ya...
  13. leveroi

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa CHADEMA wa kumpigia kura za NDIYO/HAPANA mgombea pekee aliyepitishwa na Kamati Kuu ni wa "Kishamba"

    Ila ushamba mkubwa zaidi ni ule wa kuengua wagombea wa upande mwingine ili ujitangaze kupita bila kupingwa huku tukijisifia kuwa na demokrasia iliyo bora...SERIKALI ZA MITAA JUU.!!!
  14. leveroi

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

    Ni kweli hakuna mbabe juu ya hawa jamaa. Wakiamua kukunyong'onyeza kwa vikwazo vya kiuchimi huna jinsi Bali lazima tu utaadhiririka achilia mbali raslimali zako. Tuangaliye kwa mataifa mengine mfano wa Iran nk.
  15. leveroi

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kutokana na makosa

    Endapo huo ujao utafanyika bila magumashi na ufeshuli kama huu wa mitaa, na chini ya tume yauchaguzi isokuwa na bosi wake ambaye ni mgombea, hakika upinzani utatikisa kuliko chaguzi zote zilizopita. Huu uchafuzi ulopita umewaudhi wengi hata wanaccm wwnyewe.
Back
Top Bottom